Habari

Jeshi la serikali ya Ethiopia lakomboa miji 3 ya kimkakati katika mapigano na waasi wa Tigray

Jeshi la serikali ya Ethiopia lakomboa miji 3 ya kimkakati katika mapigano na waasi wa Tigray

Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed asema kwamba vikosi vya nchi yake vimedhibiti tena udhibiti miji 3 ya kimkakati katika eneo la kaskazini la Amhara iliyokuwa mikononi mwa kundi la Tigray People’s Liberation Front. Faraan: Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa vikosi vya serikali vimefanikiwa kuteka tena miji ya kimkakati ya Disi, Kombolcha na Bati…

Watu 50 wauawa katika machafuko ya Darfur, Sudan

Watu 50 wauawa katika machafuko ya Darfur, Sudan

Watu 50 wameripotiwa kuuawa katika ghasia na machafuko yaliyotokea baina ya makabila hasimu katika jimbo la Darfur huko magharibi mwa Sudan. Faraan: Mapigano hayo yaliyosababisha vifo vya watu wasiopungua 50 yametokea katika eneo la Krink umbali wa kilomita 75 kutoka mji wa El Geneina huko Darfur Magharibi. Ripoti zinasema eneo hilo la Krink limekumbwa na…

HAMAS yapongeza hatua ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za Israel

HAMAS yapongeza hatua ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za Israel

Harakati ya Mapambano ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kukaribisha kwa mikono miwili hatua ya serikali ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo. Faraan: Msemaji wa HAMAS, Hisham Qasim amesema katika taarifa kuwa, uamuzi huo ni sehemu ya utekelezaji wa…

HAMAS: ‘Maandamano ya Bendera’ ya Wazayuni hayawezi kubadilisha utambulisho wa Palestina

HAMAS: ‘Maandamano ya Bendera’ ya Wazayuni hayawezi kubadilisha utambulisho wa Palestina

Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, maandamano ya Wazayuni wakiwa wamebeba bendera za utawala haramu wa Israel hayawezi kubadilisha utambulisho wa Kiarabu na Kipalestina wa ardhi hizo na wakazi asili wa ardhi hizo. Faraan: Hazim Qassim, msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema hayo katika…

Jenerali anayependa kufanya mapinduzi ya kijeshi Sudan ajipendekeza tena kwa Wazayuni

Jenerali anayependa kufanya mapinduzi ya kijeshi Sudan ajipendekeza tena kwa Wazayuni

Abdul Fattah al Burhan, jenerali anayependa kufanya mapinduzi ya kijeshi nchini Sudan, kwa mara nyingine ameunga mkono kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo na utawala dhalimu wa Kizayuni. Faraan: Jenerali al Burhan amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya al Arabia ya Saudi Arabia kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel eti ni nchi…

Kuwait yapiga marufuku meli za Israel kutia nanga nchini humo

Kuwait yapiga marufuku meli za Israel kutia nanga nchini humo

Serikali ya Kuwait imezipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo au kubeba bidhaa kutoka Kuwait kuelekea Israel. Faraan: Waziri wa Maslahi ya Umma wa Kuwait alitoa amri hiyo jana ambayo imapiga marufuku meli zinazosafirisha bidhaa za utawala haramu wa Israel kubeba au…

Watu zaidi ya 30 wauawa katika shambulio la kigaidi katikati ya Mali

Watu zaidi ya 30 wauawa katika shambulio la kigaidi katikati ya Mali

Watu wasiopungua 31 wameuawa katikati ya Mali huko magharibi mwa Afrika baada ya wanamgambo waliokuwa na silaha kushambulia basi iliyokuwa imebebe raia wa kawaida wakielekea sokoni. Watu wenye silaha wasiofahamika walianza kufyatua risasi na kisha kumuuwa dereva kabla ya kulichoma moto basi hilo. Faraan: Shirika la habari la EFE limeripoti kuwa, akthari ya waliouliwa ni…

Al Burhan: Jeshi la Sudan litaacha siasa baada ya uchaguzi wa 2023

Al Burhan: Jeshi la Sudan litaacha siasa baada ya uchaguzi wa 2023

Mkuu wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah Al-Burhan, amesema kwamba jeshi litaondoka kwenye uwanja wa siasa baada ya uchaguzi uliopangwa kufanyika 2023, na kuongeza kuwa kuna “ishara nzuri” zinazohusiana na uungaji mkono mpya wa jamii ya kimataifa kwa Khartoum. Faraan: Jenerali Abdel Fattah al Burhan amesema katika mahojiano yake na shirika la habari la Reuters…