Habari

Algeria: Morocco imetengwa kutokana na kuanzisha muungano wa kijeshi na Israel

Algeria: Morocco imetengwa kutokana na kuanzisha muungano wa kijeshi na Israel

Watu wasiopungua 31 wameuawa katikati ya Mali huko magharibi mwa Afrika baada ya wanamgambo waliokuwa na silaha kushambulia basi iliyokuwa imebebe raia wa kawaida wakielekea sokoni. Watu wenye silaha wasiofahamika walianza kufyatua risasi na kisha kumuuwa dereva kabla ya kulichoma moto basi hilo. Faraan: Shirika la habari la EFE limeripoti kuwa, akthari ya waliouliwa ni…

Wapalestina wasiopungua 45,000 wahudhuria Swala ya Ijumaa Al Aqsa

Wapalestina wasiopungua 45,000 wahudhuria Swala ya Ijumaa Al Aqsa

Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) pamoja na kuwepo vizuizi vilivyokuwa vimewekwa na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia ardhi hiyo ya Palestina kwa mabavu. Faraan: Kwa mujibu wa Kituo cha Habari cha Palestina, zaidi ya Wapalestina 45,000 wameshiriki katika Swala ya Ijumaa…

Mufti: Kuna njama zinazoungwa mkono na Wamagharibi za kuiangusha serikali ya Ethiopia

Mufti: Kuna njama zinazoungwa mkono na Wamagharibi za kuiangusha serikali ya Ethiopia

Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia amesema kuwa, kuna njama ya siri inayopikwa ambayo lengo lake ni kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo inayoongozwa na Waziri Mkuu Abiy Ahmed. Faraan: Akijibu swali kuhusiana na mkanda wa video ulioenea unaoonyesha baadhi ya wanadiplomasia wa Kimagharibi wakiwa katika mazungumzo na viiongozi wa Harakati ya…

“Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama”

“Iran ni nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu, kambi ya muqawama”

Mkuu wa Utamaduni wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi wa Iraq maarufu kama Hashd al Sha’abi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio nguzo ya ulimwengu wa Kiislamu na mrengo wa muqawama na mapambano ya Kiislamu. Faraan: Sayyid Hashem al-Heydari alisema hayo jana Alkhamisi katika mji wa Kerman, kusini mashariki mwa Iran na kuongeza kuwa,…

Jihad al-Islami: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kutoa huduma ya bure kwa Wazayuni

Jihad al-Islami: Kuanzisha uhusiano na Israel ni kutoa huduma ya bure kwa Wazayuni

Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina imetangaza kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni kutoa huduma ya bure kwa Wazayuni magharsibu. Faraan: Hayo yameelezwa na Dawud Shihab mmoja wa viongozi wa Harakati ya Jihad al-Islami ya Palestina ambaye amesisitiza kuwa, hivi sasa katika eneo la Quds Mashariki linalokaliwa kwa…

Ismail Hania: Marekani siyo ‘polisi wa dunia’, itaendelea kuchezea ‘vipigo’

Ismail Hania: Marekani siyo ‘polisi wa dunia’, itaendelea kuchezea ‘vipigo’

Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani siyo ‘polisi wa dunia’ na kwamba, kuondoka Marekani nhuko Afghanistan kutafuatiwa na kuondola taifa hilo katika maeneo mengine. Faraan: Ismail Hania amebainisha kuwa, Marekani na waitifaki wake kinara wao ukiwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamedhoofika mno…

HAMAS: Mabunge ya Kiarabu na Kiislamu yazuie kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

HAMAS: Mabunge ya Kiarabu na Kiislamu yazuie kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeyataka mabunge ya mataifa ya Kiarabu na Kiislamu yasimame kidete na kuzizuia serikali zao kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Khalil al-Hayya, Mkuu wa Ofisi ya Mahusiano ya Kiarabu na Kiislamu ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema…

Moncef Marzouki: Kuiingiza Israel katika mzozo baina ya Algeria na Morocco ni mchezo mchafu

Moncef Marzouki: Kuiingiza Israel katika mzozo baina ya Algeria na Morocco ni mchezo mchafu

Moncef Marzouki, rais wa zamani wa Tunisia amekosoa vikali hati ya makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida baina ya Morocco na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kueleza kwamba, hilo lilikuwa ni kosa. Faraan: Moncef Marzouki ameashiria mzozo na mvutano uliopo hivi sasa baina ya Algeria na Morocco na kuelezwa kwamba, kuingizwa utawala haramu…