Habari

Israel imewasababishia Wapalestina hasara ya dola bilioni 57 katika Ukingo wa Magharibi

Israel imewasababishia Wapalestina hasara ya dola bilioni 57 katika Ukingo wa Magharibi

Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD limechapisha ripoti inayoonyesha kuwa sera za ukaliaji mabavu za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan zimesababisha hasara ya kiuchumi ya zaidi ya dola bilioni 57 kwa taifa la Palestina katika kipindi cha miongo miwili iliyopita. Faraan: Katika miongo miwili…

Kuendelea maandamano ya Wasudan mjini Khartoum

Kuendelea maandamano ya Wasudan mjini Khartoum

Wananchi wa Sudan wanaendelea kufanya maandamano kulalamikia mapatano ya kisiasa yaliyofikiwa nchini humo pamoja na kutaka serikali ya kiraia iundwe haraka nchini. Kamati za mapambano na vyama vya wafanyakazi vimeitisha maandamano makubwa leo Jumanne kwa ajili ya kufuatiliwa matakwa ya wananchi kutoka kwa serikali inayodhibitiwa na wanajeshi. Wakati huo huo, Stephane Dujarric, Msemaji wa Antonio…

Waziri wa Ethiopia autaja ubalozi wa Marekani nchini humo kuwa wa ‘kigaidi’

Waziri wa Ethiopia autaja ubalozi wa Marekani nchini humo kuwa wa ‘kigaidi’

Waziri mmoja nchini Ethiopia ameutaja Ubalozi wa Marekani nchini Ethiopia kuwa ni wa ‘kigaidi’ na kwamba haupaswi kuwa nchini humo. Faraan: Taye Dendea Aredo, Waziri wa Nchi wa Ethiopia, ameutuhumu ubalozi wa Marekani uliopo mjini Addis Ababa kuwa unachochea ghasia na kuhimiza ugaidi. Ameandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Facebook na kusisitiza kuwa haandiki…

Maandamano Morocco kupinga uhusiano na Israel

Maandamano Morocco kupinga uhusiano na Israel

Wananchi wa Morocco wameandamana kupinga hatua ya utawala wa nchi yao kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. Faraan: Maandamano hayo yalifanyika Jumapili katika miji 27 kote Morocco kwa mnasaba wa tarehe 29 Novemba ambayo huadhimishwa kote duniani kama Siku ya Kimataifa ya Kuonesha Mshikamano na Taifa la Palestina. Maandamano hayo yaliandaliwa…

Algeria: Tutaendelea kuiunga mkono Palestina hadi ijikomboe kutokana na uvamizi

Algeria: Tutaendelea kuiunga mkono Palestina hadi ijikomboe kutokana na uvamizi

Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Algeria ametangaza kuwa, nchi yake itaendelea kuliunga mkono taifa madhulumu la Palestina hadi pale litakapojikomboa kutoka katika ukoloni na uvamizi. Faraan: Ramtane Lamamra amesisitiiza kuwa, wananchi wa Algeria wataendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ambao nao kama walivyo watu wengine wana haki ya kujikomboa kunako ukoloni na uvamiz unaowakandamiza….

Guterres: Hali ya mambo katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu Palestina inatishia amani

Guterres: Hali ya mambo katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu Palestina inatishia amani

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hali ya mambo katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu huko Palestina ni tishio kwa amani na uthabiti wa kiimataiifa. Antonio Guterres amesema hayo leo kwa mnasaba wa Siku ya Kimataiifa ya Kufungamana na Wananchi wa Palestina ambapo sambamba na kuashiria uvamizi wa Israel huko Palestina amebainisha kwamba, hali…

Hania: Kuachiwa huru mateka wa Kipalestina ni kipaumbele

Hania: Kuachiwa huru mateka wa Kipalestina ni kipaumbele

Ismail Hania Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa moja ya daghadagha za harakati hiyo ni suala la kuachiwa huru mateka wa Kipalestina. Faraan: Akihutubia mkutano wa uungaji mkono wa Waarabu kwa mateka wa Kipalestina wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Kizayuni, Hania amesema: “tunawatangazia mateka…

Onyo la HAMAS kwa rais wa utawala haramu wa Israel

Onyo la HAMAS kwa rais wa utawala haramu wa Israel

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya mpango wa Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog wa kuutembelea Mstikiti wa Ibrahim kusini magharibi mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu. Faraan: Ofisi ya Herzog ilitangaza Ijumaa kuwa, rais huyo wa utawala haramu…