Umoja wa Maulamaa Waislamu: Ni haramu kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Umoja wa Kimataifa wa Maulamaa Waislamu umelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha muungano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusaini mikataba ya mapatano na utawala huo ghasibu. Gazeti la al Quds al Araby limeripoti kuwa, Umoja wa Maulamaa Waislamu umetoa taarifa na kueleza kwamba miungano na hatua za kivitendo…
HAMAS yaanzisha kampeni kubwa ya uhamasishaji kukabiliana na hatua ya Uingereza dhidi yake
Al-Nunu ameongeza kuwa, Magharibi imebaini kuwa muqawama wa Palestina ukiongozwa na Hamas umepiga hatua katika kupata uungaji mkono kimatiafa, wakati utawala wa Kizayuni unashindwa kupata uhalali wa kisiasa kutokana na hatua zake za hivi karibuni. Mshauri huyo wa mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, amebainisha kuwa harakati hiyo haitabadili misimamo…
Askari wasiopungua sita wa Sudan wauawa katika mapigano ya mpakani na Ethiopia
Jeshi la Sudan limesema, askari wake kadhaa wameuawa katika shambulio lililofanywa na vikosi vya jeshi la Ethiopia katika eneo la mpakani linalozozaniwa na nchi mbili. Faraan: Taarifa iliyotolewa na jeshi la Sudan imeeleza kwamba, askari wake waliokuwa wakisimamia zoezi la uvunaji mazao katika eneo la Al-Shafaqa walishambuliwa na makundi ya askari wa jeshi la Ethiopia…
Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu
Watu watano wameuawa na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa hii leo katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu. Faraan: Mohamed Abdillahi afisa usalama mjini Mogadishu ameeleza kuwa, hadi sasa wamethibitisha kuaga dunia watu 5 na 15 kujeruhiwa katika mlipuko huo wa bomu. Ameongeza…
Mapigano makali yaendelea kushuhudiwa baina ya jeshi la Ethiopia na TPLF
Mapigano makali yanaendelea kuripotiwa baina ya jeshi la Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) katika maeneo ya magharibi katika mpaka na jimbo la Tigray la kaskazini mwa Ethiopia. Faraan: Ripoti zinasema kuwa, mapigano hayo yameshadidi zaidi jana na juzi huku juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro huo za kieneo na…
Ubalozi wa Palestina Tehran walaani uhasama wa Uingereza dhidi ya Hamas
Ubalozi wa Palestina mjini Tehran umetoa taarifa na kulaani vikali hatua ya Uingereza ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika orodha ya makundi ya ‘kigaidi’.
Walowezi wa Kizayuni wawashambulia Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamefanya hujuma na mashambulio dhidi ya nyumba za Wapalestina kusini mwa mji wa Nablos ulioko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Mwanahabari mtajika wa redio ya Somalia auawa katika shambulio la kigaidi
Kundi la kigaidi la al Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida limehusika katika mlipuko wa bomu uliosababisha kifo cha mwandishi habari mtajika wa redio ya serikali ya Somalia huko Mogadishu. Shambulio hilo limejiri jana katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu baada ya gari lililokuwa limetegwa bomu kuilenga gari ya waandishi habari wa redio…