
Balozi wa Sudan: Israel na vikundi vyake vya wakala vinamchango katika vita nchini Sudan
Balozi wa Sudan mjini Tehran amesema kuwa, kinachoendelea Sudan ni jinai kubwa na kusema kuwa, Israel na makundi ya wawakilishi wake katika eneo hilo ndio wanaoendesha mizozo ya hivi sasa nchini Sudan. Abdul Aziz Hasan Saleh Taha, balozi wa Sudan mjini Tehran, alielezea matukio ya hivi punde nchini Sudan katika mkutano na waandishi wa habari…

Chad yatangaza siku 3 za maombolezo baada ya kuuawa makumi ya wanajeshi
Serikali ya Chad imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa baada ya kuuawa makumi ya wanajeshi wake katika jimbo la Lac. Serikali ya Chad imetangaza kuwa kuanzia leo usiku hadi siku ya Ijumaa bendera zote nchini humo zitapepea nusu mlingoti na hafla na sherehe zote haziruhusiwi kufanyika katika siku za maombolezo. Vyombo vya habari na…

Algeria: UNRWA inapaswa kufanya kazi hadi kuundwa kwa taifa la Palestina
Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria ilisema kwamba kupigwa marufuku shughuli za UNRWA katika ardhi za Palestina inayokaliwa kwa mabavu kuna madhara makubwa na mabaya sana kwa mamilioni ya wakazi wake. Wizara hiyo imesema katika taarifa yake: “Tunalaani vikali kuidhinishwa kwa sheria mbili za utawala wa Kizayuni kwa lengo la kudhoofisha shughuli za UNRWA…

Masaibu ya Naibu Rais aliyetimuliwa Kenya, Rigathi Gachagua yazidi, UDA nayo kumtimua
Chama tawala nchini Kenya cha United Democratic Alliance (UDA) kimetangaza kwamba, hivi karibuni kitamteua Naibu Rais mteule, Kithure Kindiki kama naibu kiongozi wa chama hicho mara tu kesi zinazoendelea mahakamani za kupinga kuondolewa madarakani Rigathi Gachagua, zitakapomilika. Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar jana alisema chama hicho hakitakubali Bw Gachagua kuendelea kuwa naibu kiongozi wa…

Ujumbe wa kutambulishwa kwa Katibu Mkuu mpya wa Hizbullah nchini Lebanon
Mkakati wa kumtangaza Katibu Mkuu mpya wa Hizbullah ilikuwa hatua kubwa ya Hezbullah katika kuvuruga mpango uliobuniwa na utawala wa Kizayuni katika wiki za hivi karibuni. Baadhi ya vyanzo vya usalama viliamini kuwa jina la Katibu Mkuu mpya wa Hezbollah linapaswa kuwekwa siri kwa ajili kuhifadhi usalama wake. Hatahivyo Hizbullah haikufanya hivo (kuweka siri jina…

Tangazo la Mkuu wa Jeshi kuhusu uvamizi wa utawala wa Kizayuni
Kituo cha Mawasiliano cha Wanajeshi kilitoa taarifa kuhusu uvamizi wa adui Mzayuni kwa Iran. Nakala ya tangazo hilo ni kama ifuatavyo: 🔹 Tunawafahamisha watu watukufu wa Iran ya Kiislamu kwamba katika uvamizi wa wazi na haramu wa kimataifa mapema asubuhi ya leo Jumamosi, Oktoba 27, ndege za Kizayuni, zikitumia nafasi iliyotolewa na jeshi la kigaidi…

Algeria yafutilia mbali Leseni ya Al-Arabiya
Vyombo vya habari vya Algeria viliripoti kuwa Algeria imefuta leseni ya kituo cha habari cha Saudi Arabia kufanya kazi nchini humo. Kwa mujibu wa ripoti ya IRNA, vyombo vya habari vya Algeria vimesisitiza kuwa, Al-Arabiya imetumia juhudi zake zote katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita kutangaza upya habari za vita vya Gaza na Lebanon kwa…

Rais Paul Biya arejea Cameroon, baada ya kutoweka kwa takribani wiki 6 na kusababisha wasiwasi wa kiafya
Baada ya kukosekana kwa muda wa wiki 6 na kusababisha wasiwasi juu ya afya yake na mahali alipo, Rais Paul Biya wa Cameroon hatrimaye amerejea nchini. Rais huyo mwenye umri wa miaka 91 amewasili nchini kutokea Geneva, Uswisi, akiwa ameandamana na mkewe, Chantal Biya, na wala hakuzungumza na wananchi. Pamoja na hayo aliwapungia mkono wafuasi wake…