Kurasa Maalum

Matarajio tofauti kutoka kwenye mkutano wa Doha kuhusu Afghanistan

Matarajio tofauti kutoka kwenye mkutano wa Doha kuhusu Afghanistan

Doha, mji mkuu wa Qatar, ambayo katika miaka ya hivi karibuni umekuwa mwenyeji wa duru kadhaa za mikutano mbalimbali kuhusu Afghanistan, kuanzia jana ulikuwa tena mwenyeji wa mkutano wa siku mbili unaoongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ambao unahudhuriwa na wawakilishi maalumu wa nchi 25 na mashirika ya kimataifa yanayojihusisha na…

Kauli ya chuki dhidi ya Iran ya waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni mjini Brussels

Kauli ya chuki dhidi ya Iran ya waziri wa mambo ya nje wa utawala wa Kizayuni mjini Brussels

Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni aliyezuru Brussels alikariri shutuma dhidi ya Tehran na kudai kuwa Umoja wa Ulaya umekaribia misimamo ya Tel Aviv kuhusu Iran. “Eli Cohen”, Ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni, alisafiri hadi Brussels, mji mkuu wa Ubelgiji, nakudai katika chapisho kwenye mtandao waTwitter…

Biashara bora zaidi ni Amale Saaleh, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Biashara bora zaidi ni Amale Saaleh, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 28, 2023   Hotuba ya 1: Taqwa katika kula chakula Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya…

Ansarullah: Vita vya Sudan ni mwendelezo wa vita vya Yemen / Msimamo mbaya wa Washington katika mazungumzo kati ya Riyadh na Sana’a

Ansarullah: Vita vya Sudan ni mwendelezo wa vita vya Yemen / Msimamo mbaya wa Washington katika mazungumzo kati ya Riyadh na Sana’a

Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesisitiza kuwa: Mgogoro wa Sudan ni sawa na mgogoro wa Yemen, na wale wanaopigana huko Sudan leo walipigana huko Yemen kabla ya hapo. “Mohammed Al-Bakhiti” alisema katika mahojiano na mtandao wa Al-Mayadeen kwamba mgogoro wa Sudan uko kando ya mstari wa mgogoro wa Yemen,…

Dua ya Imam Sajjad ya Kuaga Mwezi wa Ramadhan – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Dua ya Imam Sajjad ya Kuaga Mwezi wa Ramadhan – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 21, 2023   HOTUBA YA 1 NA YA 2: DUA YA IMAM SAJJAD YA KUAGA RAMADHANI Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na…

Meli ya Norway ikiwa njiani kwa ajili ya kuvunja kizuizi cha Gaza

Meli ya Norway ikiwa njiani kwa ajili ya kuvunja kizuizi cha Gaza

Wanaharakati wa kimataifa na wafuasi wa taifa la Palestina wanapanga kutuma meli mpya katika Ukanda wa Gaza, kwa mara nyingine tena ili kuvunja vizuizi hivyo. Muungano wa “Freedom Fleet Coalition” umetangaza utayarifu wa meli mpya kuanza kusafiri kutoka bandari za nchi za Ulaya, ambayo itaanza safari yake kuelekea Ukanda wa Gaza katika mfumo wa juhudi…

Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, licha ya Marekani kuwa na mfungamano wote na utawala haramu wa Israel lakini imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa utawala huo, na hilo ni ishara ya kutokuwa na uwezo. Hujjatul Islam wal Muslimin Sheikh Kazem Seddiqi amesema hayo leo mbele ya hadhara kubwa…

Zaidi ya waumini 100,000 wahudhuria swala ya Eid al-Fitr katika Msikiti wa Al-Aqsa

Zaidi ya waumini 100,000 wahudhuria swala ya Eid al-Fitr katika Msikiti wa Al-Aqsa

Makundi tofauti ya wananchi wa Palestina wamefanya ibada ya Swala ya Eid al-Fitr katika maeneo tofauti ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu Ijumaa asubuhi ya leo. Takriban watu 120,000 waliswali swala ya Idi katika Msikiti wa Al-Aqsa. Licha ya utayarifu kamili wa jeshi la Kizayuni katika Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu na kuunda vizuizi vya kijeshi na…