Baada ya mihadarati ya kasumba, Taliban yapiga marufuku ulimaji bangi Afghanistan
Baada ya kupigwa marufuku ulimaji wa mipopi, mmea unaozalisha mhadarati wa kasumba, kwa amri ya kiongozi wa Taliban, ulimaji wa mimea ya bangi pia umepigwa marufuku nchini Afghanistan. Serikali ya Taliban imetangaza rasmi kuwa, kwa mujibu wa hukumu ya Mullah Hebatullah Akhundzadeh, kuanzia sasa kilimo cha mmea wa bangi ni marufuku nchini humo, na kwamba ikiwa itashuhudiwa kilimo…
Namna Ya Kusaidiana Katika Wema na Ucha Mungu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 17, 2023 HOTUBA YA 1:NAMNA YA KUSAIDIANA KATIKA WEMA NA UCHA MUNGU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…
Kongamano la Idhaa za Kiswahili Duniani lafanyika visiwani Zanzibar, Tanzania
Kongamano la siku mbili la Idhaa za Kiswahili Duniani limeendelea leo visiwani Zanzibar nchini Tanzania kwa mada mbalimbali zilizowasilishwa na wataalamu wa lugha hiyo kutoka pembe tofauti za dunia. Kongamano hilo lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) kwa kushirikiana na wadau wengine, limewaleta pamoja waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa…
Ujumbe muhimu zaidi wa mazoezi ya pamoja kati ya Iran, Urusi na China
Amir Admiral Shahram Irani, kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kudhaminiwa usalama katika eneo kwa kusisitiza kuwa, nchi za eneo hili ni katika vyanzo vikubwa zaidi vya mafuta duniani. Amiri wa Iran amemwambia ripota wa kituo cha habari cha Al-Alam kwamba nchi zote za eneo hilo zina…
WHO: Nchi 37 za Afrika zinakabiliwa na uhaba wa wahudumu wa afya
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema nchi 37 za bara Afrika zinakabiliwa na hatari kutokana na uhaba wa wahudumu wa afya. WHO imesema mifumo ya afya ya nchi hizo inabailiwa na mtikisiko kwa kuwa madaktari na wahudumu wengine wa afya wanaondoka katika nchi hizo na kwenda kutafuta ajira ughaibuni. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani,…
Safari ya Netanyahu nchini Ujerumani huku maandamano ya Wazayuni yakiendelea
Serikali ya Ujerumani ilitangaza kuwa kansela wa nchi hiyo atakuwa mwenyeji wa waziri mkuu wa Israel katika mkutano wa “chakula cha mchana” mjini Berlin Alhamisi hii. Afisa wa Ujerumani alitangaza mpango wa Waziri Mkuu Olaf Schultz kwa ajili ya mkutano wa pande mbili na Benjamin Netanyahu huko mjini Berlin. Vyanzo vya habari kutoka Berlin, mji…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia: Nina hamu ya kuonana na waziri mwenzangu wa Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, Faisal bin Farhan ameelezea nia yake ya kukutana haraka na Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian, baada ya nchi hizi mbili kufikia makubaliano ya kufufua uhusiano baina yao. Akihojiwa na gazeti la Al-Sharq Al-Awsat, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia amesema:…
Afisa wa jeshi la Iraq: Zaidi ya wanachama 400 wa ISIS bado wako Iraq
Afisa wa jeshi la Iraq amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) bado lina wapiganaji 400 hadi 500 katika nchi hiyo. Qais Al-Mohammadawi, Naibu wa Kamandi ya Operesheni ya Pamoja, ambayo inasimamia ushirikiano wa vikosi vya usalama vya Iraqi na muungano wa kimataifa, ametangaza kuwa wapiganaji wa kundi la kigaidi la ISIS nchini Iraq…