Makubaliano kati ya Tehran na Riyadh yapunguza mipango yakikhabithi ya Tel Aviv na chuki ya Amerika dhidi ya Iran
Wataalamu wa masuala ya Mashariki ya Kati wanaamini kuwa, kuhuishwa uhusiano kati ya Iran na Saudi Arabia kumelifikisha eneo hili katika sura mpya ya kimataifa, ambayo imesababisha kudorora kwa mahesabu ya Washington na kufeli kwa mipango ya Wazayuni na Wamarekani. Watafiti wa masuala ya kisiasa wanasema kuwa kwa kuunga mkono makubaliano kati ya Iran na…
Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi lilikaribisha makubaliano hayo kati ya Tehran na Riyadh
Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi amekaribisha taarifa ya pande tatu kati ya Iran, Saudi Arabia na China kuhusiana na kurejeshwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Riyadh na Tehran. Kwa mujibu wa ripoti, Jassem Al-Badawi, Katibu Mkuu wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi ameeleza matumaini yake kuwa, kurejea…
Ubora Wa Mtu Kwa utu Sio Kwa Rangi Ya Ngozi Yake – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 3, 2023 Hotuba ya 1: Ubora Wa Mtu Kwa utu Sio Kwa Rangi Ya Ngozi Yake Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni…
Waislamu watakiwa kususia tende za Israel mwezi wa Ramadhani
Kampeni mpya ya kususia utawala wa Kizayuni imezinduliwa ili kuwataka Waislamu barani Ulaya na maeneo mengine duniani kuangalia lebo za matunda hasa tende na kuepuka kununua tende za utawala haramu wa Israel katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Waislamu wanapaswa kuhakikisha kuwa hawafuturu kwa bidhaa za “ubaguzi wa rangi,” waandaaji wa kampeni hiyo wamesema. “Kwa kuchagua…
Je, unatathimini vipi kurudi kwa Waarabu Syria?
Kurejea kwa Waarabu nchini Syria kupitia swala la kibinadamu baada ya zaidi ya muongo mmoja kumeibua hali kadhaa kuhusu mustakabali wa kisiasa wa nchi ya Syria. Waandishi na watafiti wa masuala ya kisiasa walisisitiza kuwa tetemeko la ardhi la Syria ni mwanzo wa kurejea kwa wakuu wa nchi za Kiarabu nchini Syria. Kama si upinzani…
Misingi Mitatu Mikuu ya Uimamu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Februari 25, 2023 Hotuba ya 1: Misingi Mitatu Mikuu ya Uimamu Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…
Kampuni ya Taifa Gas ya Tanzania kujenga kiwanda cha gesi Kenya
Kampuni ya gesi ya kupikia, Taifa Gas yaTanzania imeanzisha rasmi ujenzi wa kiwanda na ghala ya kuhifadhi gesi ya kupikia ya tani elfu 45, katika eneo maalumu la kiuchumi karibu na bandari ya Mombasa, Kenya. Kiwanda hicho cha mabilioni ya fedha kitagharimu dola milioni 200. Taifa Gas itatoa ushindani wa kibiashara na kampuni ya Africa Gas…
Ujumbe wa hadharani wa Kizayuni mjini Riyadh wa kuunga mkono uhalalishaji !
Youssef Al-Awsi, mmoja wa wanaharakati mashuhuri wa Saudia ameandika kwenye Twitter kwamba ujumbe wa Kizayuni utashiriki rasmi katika kongamano la LEAP23 mjini Riyadh ili kuunga mkono kuhalalisha hali ya kawaida kati ya utawala wa Kizayuni na Saudi Arabia. Tweet ya Al-Awsi ilisema: “Kongamano kubwa la LEAP23 litafanyika Riyadh wiki ijayo, na makampuni ya Israel yatakuwepo…