Dori la ucha Mungu katika maisha ya mwanadamu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Februari 3, 2023 HOTUBA YA 1: DORI LA UCHA MUNGU KATIKA MAISHA YA MWANADAMU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…
Netanyahu: Amani yetu na Saudi Arabia inategemea viongozi wa Saudi Arabia
Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu wa Kizayuni ameeleza kuwa, amani na Saudi Arabia inategemea uongozi wake na kudai kuwa, kujiweka sawa kwa Riyadh na Tel Aviv kutamaliza mzozo baina ya Waarabu na wavamizi. “Benyamin Netanyahu,” Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, alikiri kuhusu amani na Saudi Arabia kwamba mchakato huu utamaliza mzozo kati ya…
Misikiti ni sehemu ya mahusiano ya kijamii na Sehemu Muwafaka kwa ajili ya kuufikia utukufu wa kiroho – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Januari 27, 2023 Mahubiri ya 1: Misikiti ni sehemu ya mahusiano ya kijamii na Sehemu Muwafaka kwa ajili ya kuufikia utukufu wa kiroho Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi…
Hizbullah yajiunga na nchi za Kiislamu kulaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu huko Sweden
Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imejiunga nan chi za Kiislamu duniani kulaani kitendo cha hivi punde zaidi cha kuvunjiwa heshima Qur’ani nchini Sweden (Uswidi), na kusisitiza kuwa kuudhi matukufu ya Umma wa Kiislamu ni jambo lisilokubalika. Rasmus Paludan kinara wa chama cha mrengo wa kulia kwa jina la “Stram Kurs” au ‘Msimamo Mkali’ jana alichoma…
Kura ya Alyoum: Biden hatoingia katika kamari hatari ya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran
Gazeti la ‘Raei Alyoum’ lilichapisha dokezo na kuandika kwamba ni kweli Washington na Tel Aviv zinaweza kupanga vita dhidi ya Iran; Lakini vita kama hivyo, vikianza, vitasimama tu na mwishowe mchokozi atakua ni mwenye kushindwa, na majibu ya Iran na washirika wake yatakuwa ni yenye uchungu mwingi. Gazeti la ‘Raei Alyoum’, kwa kuchapisha dokezo lililoandikwa…
Akili ndio mali yenye thamani ghali zaidi katika maisha ya mwanadamu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Januari 13, 2023 HOTUBA ya 1: Rabitu – Agizo la Aina tatu za mahusiano mema ya kijamii Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha…
Jambo baya la washirika wa Netanyahu: kufuta mabaki ya makubaliano ya Oslo na kubadilisha Ukingo wa Magharibi kuwa Gaza nyingine
Gazeti la Kiebrania la Ha’aretz lilifichua mpango hatari wa Benguir na Smotrich, washirika wapya wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na mchezo wa Tel Aviv. Mbinu za baraza jipya la mawaziri la utawala wa Kizayuni, ambapo watu wenye misimamo mikali kama vile “Itmar Ben Gower” Waziri wa…
Wasiwasi wa utawala wa Kizayuni kuhusu muungano kati ya Fatah na Jihadi ya Kiislamu
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vinaonyesha wazi wasi wasi wao kuhusu muungano kati ya “Vikosi vya Mashahidi wa Al-Aqsa” vya tawi la kijeshi la Fatah, na “Seraya Al-Quds” wa tawi la kijeshi la Jihad ya Kiislamu. Katika vyombo vya usalama vya utawala wa Kizayuni wanasema kuwa, muunganiko baina ya harakati ya Fatah na…