Mwanawe Ruto Atetea ‘Afisi Ya Bintiye Rais’
MWANAWE Rais William Ruto, Bi Charlene Ruto, amefafanua kwamba hatumii pesa za serikali kufadhili shughuli za afisi yake anayoita ‘Afisi ya Binti wa Taifa.’ Akiwajibu Wakenya waliomkosoa kwenye mitandao ya kijamii kwa kutangaza kuwa ana ‘Afisi ya Binti wa Taifa’, Bi Charlene alisema shughuli za afisi hiyo ni za kibinafsi na hazifadhiliwi kwa njia yoyote…
Haniyeh: Kuuawa kishahidi kwa “Nasser Abu Hamid” katika magereza ya Israel ni ukiukaji wa haki za kibinadamu/Mgomo katika Ukingo wa Magharibi na Gaza.
Sambamba na mgomo wa kupinga kuuawa shahidi mmoja wa wafungwa wa Kipalestina, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina “Hamas” amelaani mauaji ya mfungwa huyo wa Kipalestina katika jela za utawala wa Kizayuni na kueleza kuwa mauaji hayo ni jinai mpya dhidi ya taifa la Palestina na jinai dhidi…
Lau milima pia ingempenda Ali ingelivunjika vipande vipande – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul…
Uharibifu wa dola bilioni 111 nchini Syria/barua ya Damascus kwa UN kuhusu wizi wa mafuta
Ikirejelea hasara ya zaidi ya dola za kimarekani bilioni 111 kwa nchi hii, Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria iliandika barua kwa Umoja wa Mataifa kuhusiana na wizi wa mafuta na ngano ya Syria unaofanywa na wanajeshi wakiMarekani wanaoikalia kwa mabavu. Kwa mujibu wa Shirika rasmi la Habari la Syria (SANA), Wizara ya Mambo…
Riba ni mfumo wa maisha wa kikafiri – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Desemba 9, 2022 Hotuba ya 1: Riba ni mfumo wa maisha wa kikafiri unaowafikisha Jehanamu Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…
Palestina; Bingwa wa mapema wa kombe la dunia la kandanda
Vyombo vya habari vya Qatar vimeitaja Palestina kuwa “mshindi wa mapema” wa Kombe la Dunia. Palestina; “ingawaje Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar bado linaendelea, lakini tayari mshindi wa mapema ashapatikana” . Nchi hii imeiba mioyo na akili za mashabiki wa kandanda duniani.” Haya ni maelezo ya Dima Khatib, mkurugenzi mtendaji wa Al Jazeera…
Ripoti ya Gazeti la New York Times kuhusu mvutano wa Tel Aviv kwenye mipaka ya ardhi ya Lebanon
Gazeti moja la Marekani liliripoti kuhusu hali tete katika mipaka ya ardhi ya Lebanon na Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuendelea vitendo vya kichochezi vya jeshi la Kizayuni katika mipaka hiyo na kuwateka nyara wachungaji wa Lebanon kwa tuhuma za ujasusi wa Hizbullah. Gazeti moja la Marekani lilichapisha ripoti kuhusu hatua za jeshi la Kizayuni…
Mahmoud Abbas: Wapalestina wote wanapaswa kuchukua hatua dhidi ya baraza la mawaziri la Netanyahu
Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina aliwataka Wapalestina wote wafanye kazi ili kulishinda na kukabiliana na baraza la mawaziri la Netanyahu. “Mahmoud Abbas,” mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, alitoa wito kwa makundi na watu wote wa Palestina kuchukua hatua kukabiliana na kushindwa baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu. Kwa mujibu wa tovuti…