Wasomi wanaoamiliana na Taaghut hawawezi kamwe kusimamisha utawala wa Kimungu
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan 2nd Dec. 2022 Hotuba ya 1: Imani iliyofichika husababisha utakasifu, subira na Taqwa (uchamungu) Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…
Onyo la Tel Aviv kwa Wazayuni kuhusu safari ya kwenda nchini Qatar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia
Makao makuu ya utawala wa Kizayuni yamewashauri wakazi wa maeneo hayo yanayokaliwa kwa mabavu kutosafiri hadi Qatar kutazama michezo ya Kombe la Dunia kutokana na vitisho vya usalama. Wakati wa michezo ya Kombe la Dunia inayofanyika nchini Qatar, Makao Makuu ya Kupambana na Ugaidi ya Kizayuni jana (Jumapili) yalitoa taarifa na kuwashauri Wazayuni wasisafiri kwenda…
Mtu anayeafikiana na kila jambo hawezi kufuata amri za Mwenyezi Mungu
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan 25th Nov. 2022 Hotuba ya 1: Tofauti kati ya Hifazat, Hisn, Taqwa na Ismat Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Waarabu wanajitenga na sisi wakati wa Kombe la Dunia na wanapinga fikra ya uhalalishaji wa mapenzi ya jinsia moja
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimesema kuwa, wakaazi wa nchi za Kiarabu duniani wanajiweka kando na sisi na wako kinyume na uhalalishaji wa mapenzi ya jinsia moja. Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni viliripoti jana (Jumanne, Novemba 22) kwamba mashabiki wanaozungumza lugha ya Kiarabu walijitenga na vyombo vya habari vya lugha ya…
Kongamano kubwa “Kwa jina la mwanamke, kwa ajili ya Irani” na ushiriki wa mabinti wa mapinduzi
Katika mkutano wa leo na waandishi wa habari wa Jumuiya ya Mabinti wa Mapinduzi, afisa wa Jumuiya hii ya alisema: “Adui na watu wanaowapigia miluzi na kuwapigia makofi ndani ya nchi wamechukizwa na harakati kubwa za kimapinduzi. Jeshi la wanawake litaonyesha uwepo wao kwa adui siku ya 10 ya Azar na sherehe kubwa ya binti…
Kumcha mwenyezi Mungu ipasavyo humaanisha kutumia kikamilifu uwezo na nguvu
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan 18th Nov. 2022 Hotuba ya 1: Kumcha mwenyezi Mungu ipasavyo humaanisha kutumia kikamilifu uwezo na nguvu. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…
Allamah Syed Jawad Naqvi: Quran ina maamuzi juu ya mafundisho na fatwa za madhehebu
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan 4th Nov. 2022 Khutba ya 1: Quran ina maamuzi juu ya mafundisho na fatwa za madhehebu Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…
Bahrain: Tunataka mahusiano yetu na Israel yawe yenye kupigiwa mfano
Mshauri wa mfalme wa Bahrain amesema, nchi hiyo itaendeleza uhusiano wake na utawala wa Kizayuni katika kipindi cha aliekua waziri mkuu Bw. Netanyahu. “Khalid bin Ahmed Al Khalifa”, waziri wa zamani wa mambo ya nje na mshauri wa sasa wa Mfalme wa Bahrain katika masuala ya kidiplomasia, alisema kuwa Manama itaendeleza uhusiano wake na utawala…