Kurasa Maalum

Kuwa na Tamaa ya Uongozi ,Tamaa nyingi zenye kuharibu : ALLAMA JAWAD NAQVI

Kuwa na Tamaa ya Uongozi ,Tamaa nyingi zenye kuharibu : ALLAMA JAWAD NAQVI

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa chuo kikuu cha Orwatul Wuthqa – Lahore, Jamia Jafaria – Gujranwala) Imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq, Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa – 17 Juni 2022   Khutbah ya 1: Kuwa na Tamaa ya Uongozi – Tamaa nyingi zenye kuharibu Nawahusieni nyote na kuihusia nafsi yangu mwenyewe…

Kuendelea kwa vitendo visivyo vya kibinadamu vya madola ya Ulaya dhidi ya wahajiri

Kuendelea kwa vitendo visivyo vya kibinadamu vya madola ya Ulaya dhidi ya wahajiri

Baada ya serikali ya Uingereza kuchukua uamuzi wa kuwahamishia nchini Rwanda wakimbizi wanaoomba hifadhi nchini Uingereza, sasa mahakama ya nchi hiyo nayo imeunga mkono na kuidhinisha uamuzi huo. Jonathan Swift, Jaji wa Mahakama Kuu ya Uingereza ametangaza kuwa, kwa mujibu wa manufaa ya umma ni muhimu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani aweze kutekeleza agizo…

Fainali ya Ligi ya Mabingwa | Hakukuwa na ulipizaji kisasi, Liverpool wapoteza tena / Ubingwa wa Real katika soka la Ulaya

Fainali ya Ligi ya Mabingwa | Hakukuwa na ulipizaji kisasi, Liverpool wapoteza tena / Ubingwa wa Real katika soka la Ulaya

Timu ya soka ya Real Madrid yachukua ubingwa kwa kumshinda mpinzani wake kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya. Timu za soka za Real Madrid na Liverpool ziliminyana katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyoandaliwa katika Uwanja wa Stadio France mjini Paris, mchuano huo uimalizika huku kwa wachezaji wa Ancelotti wakichukua ushindi wa…

Kiongozi Muadhamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni Fatemi ni’a

Kiongozi Muadhamu ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni Fatemi ni’a

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanazuoni na mhubiri katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hujjatul Islam Sayyid Abdullah Fatemi ni’a. Nakala ya ujumbe huo ni kama ifuatavyo; kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma mwenye Kurehemu Natoa pole na rambirambi zangu kwa familia ya…

Kiongozi Muadhamu: Kuhudhuria kwa wananchi katika maandamano ya leo ni utetezi wa kweli wa Al-Quds / Mipango ya mapatano na Wazayuni imebatilishwa / Kipofu hawezi tena kuwa kipofu!

Kiongozi Muadhamu: Kuhudhuria kwa wananchi katika maandamano ya leo ni utetezi wa kweli wa Al-Quds / Mipango ya mapatano na Wazayuni imebatilishwa / Kipofu hawezi tena kuwa kipofu!

Katika Hotuba yake ya Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Ali Khamenei alizungumza katika siku hii inayosadifiana na Siku ya Kimataifa ya Quds iliyorushwa moja kwa moja na kupitia televisheni akisema; ‘Salamu kwa taifa lao kuu la Iran, ambalo limeunda historia siku hii ya…

Nchi nyingi za Kiarabu zaruhusu mijimuiko ya ibada Mwezi wa Ramadhani

Nchi nyingi za Kiarabu zaruhusu mijimuiko ya ibada Mwezi wa Ramadhani

Wakati Waislamu wakijiandaa kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, nchi za Kiarabu zimeamua kupunguza vizuizi vya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona baada ya hali ya kipekee katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, IQNA imeripoti. Hivyo ibada na sherehe za Ramadhani zinarejea katika baadhi ya nchi za Kiarabu. Vizuizi vya kukabiliana na mlipuko wa corona vilikuwa…

Uingereza yapiga marufuku biashara ya dhahabu nchini Urusi

Uingereza yapiga marufuku biashara ya dhahabu nchini Urusi

Uingereza imeongeza vikwazo kwenye biashara ya dhahabu kwa Urusi, ikiwa ni miongoni mwa  orodha yake ya vikwazo kwa benki kuu. Uingereza imeongeza vikwazo vya dhahabu kwa Urusi katika orodha yake ya vikwazo kwenye benki kuu ya nchi hiyo mapema mwezi huu. Vikwazo hivyo vipya vilitangazwa katika toleo lililosasishwa la Maagizo ya Vikwazo kwenye tovuti ya…

Kremlin: Russia itatumia silaha za nyuklia uwepo wake ukitishiwa

Kremlin: Russia itatumia silaha za nyuklia uwepo wake ukitishiwa

Ikulu ya Russia ya Kremlin imesema nchi hiyo haitakuwa na chaguo jingine isipokuwa kutumia silaha za nyuklia iwapo uwepo wa taifa hilo utakabiliwa na vitisho. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov alisema hayo jana Jumanne katika mahojiano na kanali ya televisheni ya CNN na kueleza kuwa, nchi hiyo haina azma ya kutumia silaha za nyuklia, lakini kanuni…