
Syria ni usaliti mkubwa uliofanywa na Erdogan na usaliti mkubwa kuliko uliofanywa na viongozi wa Kiislamu: Ustadh Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imehutubiwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa – 13 Desemba 2024 Khutba ya 1: Kuwa na Taqwa ili kujikinga na wale wanaokutenganisha na njia ya Mwenyezi Mungu. قُلْ أَنَدْعُو مِنْ دُونِ اللَّهِ مَا لَا يَنْفَعُنَا وَلَا يَضُرُّنَا وَنُرَدُّ…

KHUTBA YA KWANZA KATIKA MUNASABA WA SHAHADA YA BIBI FATMA ZAHRA(SA)
MAJLIS ZA BIBI FATMA ZAHRA(SA) Hujjat al-Islam na Muslim Syed Jawad Naqvi Mudeer wa Jamia Urwatul Wuthqah Msikiti wa Baitul Atiq Lahore Pakistan 3 Desemba 2024 فقالت فاطمۃ الزہرا سیدۃ نساء العالمین علیہا السلام فَجَعَلَ اللهُ الإيمانَ تَطْهيراً لَكُمْ مِنَ الشِّرْكِ، وَالصَّلاةَ تَنْزِيهاً لَكُمْ عَنِ الكِبْرِ، والزَّكاةَ تَزْكِيَةً لِلنَّفْسِ وَنَماءً في الرِّزْق، والصِّيامَ…

Tuhuma mpya za Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa amani wa nyuklia wa Iran
Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) ya Jumatatu ya tarehe 9 Disemba ilikariri madai yenye utashi wa kisiasa kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran. Madola hayo matatu ya Ulaya yamekariri madai hayo ikiwa ni radiamali yao kwa ripoti ya hivi karibuni ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki…

Imamu Khamenei: Kilichotokea Syria ni matokeo ya mpango wa pamoja wa Marekani na Israel
Kiiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kiilichotokkea Syria ni njama na mpango wa pamoja wa Marekani na utawala haramu wa Israel. Ayatullah Sayyid Khamenei amesema hayo leo mbele ya hadhara kubwa ya matabaka mbalimbali ya wananchi katiika Husseiniya ya Imamu Khomeini na kusisitiza kwamba, haipasi kutilia shaka kwamba yaliyotokea Syria ni natija yampango…

Taqwa pamoja na marafiki, ndugu wanaopotosha katika njia sahihi: Ustadh Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Kiongozi mkuu Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa na: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya Ijumaa – 29 Novemba 2024 Khutba ya 1: Taqwa pamoja na marafiki, ndugu wanaopotosha katika njia sahihi Taqwa ina umuhimu mkubwa wakati wa kuamiliana na watu wengine, kwani mahusiano haya ni…

UN: Watu bilioni 1 wanaishi katika umaskini wa kupindukia
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, zaidi ya watu bilioni moja wanaishi katika umaskini mkubwa, na karibu nusu yao wapo katika nchi zinazokumbwa na migogoro. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyochapishwa jana Alkhamisi na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP): Nchi zilizosumbuliwa na vita zina viwango vya juu vya uchochole katika viashiria vyote vya…

Al-Shabab nchini Somalia: Risasi na mabomu haziwezi kuzika itikadi
Mashambulizi ya serikali ya Somalia dhidi ya al-Shabab yanadorora kwa sababu ya mbinu za mgawanyiko zilizowekwa. Mwezi Agosti, waziri mkuu wa Somalia, Hamza Abdi Barre, alifanya mkutano katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu kuadhimisha mwaka wa pili wa kuundwa kwa baraza lake la mawaziri. Kwa kawaida, moja ya maswala ya kibonye moto yaliyoibuliwa katika hafla…

Ayatullah Sistani: Ichukuliwe hatua haraka kukomesha uchokozi wa Israel dhidi ya Lebanon
Kiongozi wa juu wa kidini na Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani ameelezea mshikamano wake na Lebanon wakati nchi hiyo ya Kiarabu na Kiislamu inaendelea kuandamwa na mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na ametaka zifanyike juhudi za dharura kusitisha uchokozi huo wa kikatili…