Ansarullah yakataa kushiriki katika kikao cha Riyadh
Harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah imetaa ombi la Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi la kwenda Riyadh na kufanya mazungumzo na Saudi Arabia. Miaka 7 imepita tangu Saudi Arabia ianzishe vita dhidi ya taifa la Yemen. Al-Saud ambao walitarajia kushinda vita hivyo kwa muda mfupi, sasa wamekwama kwenye kinamasi cha Yemen. Vita hivi pia vimekuwa…
Tarehe 15 Shaaban Hijiria Qamaria ni kumbukumbu ya kuzaliwa mwokozi wa ulimwengu, Imam Mahdi –Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake (ATF)
Nuru ya umaanawi ya uwepo wa Imam Mahdi ATF imeenea hata katika wakati huu wa “ghaiba” au kutokuwepo mtukufu huyo machoni mwa walimwengu. Kabla ya kumuumba mwanadamu, Mwenyezi Mungu aliwaambia Malaika wake: ‘Na pale Mola wako alipowaambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (al-Baqarah:30). Khalifa wa kwanza alikuwa Nabii Adam (as) na baada yake wakaja Manabii na…
Maandamano makubwa ya kupinga Israel nchini Uturuki
Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao. Waturuki walioshiriki maandamano ya jana walikuwa wamebeba bendera za harakati za mapambano za Hizbullah ya Lebanon na Ansarullah ya Yemen, na vilevile picha za Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani,…
Ukraine: Tumepoteza mawasiliano yote na Chernobyl
Ukraine imeliambia Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki kwamba imepoteza mawasiliano kabisa na kinu cha nyuklia cha Chernobyl kilichokataliwa. IAEA ilisema katika taarifa yake siku ya Ijumaa kwamba wakala wa nyuklia wa Ukraine uliarifu shirika hilo siku ya Alhamisi. Shirika hilo lilisema katika taarifa yake: Shirika la Nishati ya Atomiki la Ukraine (IAEA) liliambia…
Iran ; Utawala wa Kizayuni utarajie Jibu Kali kwa Jinai walioitenda
Ndege za kivita za Israel zilishambulia eneo la Reef mjini Damascus – Syria mnamo siku ya Jumatatu asubuhi (Machi 6), na kuwaua Wairani wawili miongoni mwa watetezi wa Haram tukufu. Wawili hao wakifahamika kama Morteza Saeed Nejad na Ehsan Karbalaeipour waliuawa huku Tehran ikisisitiza kuwa, italipiza kisasi cha damu za mashahidi wake, na kuhusiana na…
Hujjatul Islam Haj Ali Akbari : Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine
Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah amekosoa vikali mienendo ghalati ya Marekani katika medani ya kimataifa na kusisitiza kuwa, US ni nembo ya ujahili mamboleo. Hujjatul Islam Haj Ali Akbari ameashiria matukio ya Ukraine na operesheni maalumu ya kijeshi ya Russia ndani ya ardhi ya nchi hiyo ya Ulaya na kueleza…
Zaidi ya silimia 90 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha, WFP yatangaza
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, asilimia 95 ya wananchi wa Afghanistan hawana chakula cha kutosha. Taarifa yay Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) kanda ya Asia-Pasific imeeleza kwamba, katika miezi ya hivi karibuni hali ya kibinadamu nchini Afghanistn imezidi kuwa mbaya na kwamba, idadi ya watu…
Kenya miongoni mwa nchi zitakazoanza kutengeneza chanjo za Covid-19 kwa teknolojia ya mNRA
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, nchi sita za Afrika zimechaguliwa kuanza utengenezaji wao wa chanjo za Covid-19 kwa kutumia teknolojia ya mfumo wa mRNA. Kenya, Afrika Kusini, Nigeria, Senegal, Misri na Tunisia zimechaguliwa kuwa nchi za kwanza kupokea teknolojia ya mRNA kutoka kituo Shirika la Afya Duniani (WHO) cha kimataifa, katika bara hilo…