Kurasa Maalum

Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini: Hivi karibuni tutachukua hatua dhidi ya ubaguzi wa rangi wa Israel

Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini: Hivi karibuni tutachukua hatua dhidi ya ubaguzi wa rangi wa Israel

Faraan : Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini alikosoa vikali utawala huo ghasibu na ubaguzi wake wa rangi dhidi ya Wapalestina. Kulingana na Fars News Agency International Group; Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini Nalidi Bandur katika hotuba yake mbele ya bunge aliukosoa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa uvamizi wake…

Sheikh Maher Hammoud; Imam Khamenei ni kiongozi wa kihistoria

Sheikh Maher Hammoud; Imam Khamenei ni kiongozi wa kihistoria

Sheikh Maher Hammoud, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Muqawama amesema katika mahojiano kwamba Imam Khamenei ni kiongozi wa kihistoria. Sheikh Maher Hammoud, katibu mkuu wa Muungano wa Wanazuoni wa Muqawama nchini Lebanon amezungumza na Radio Al-Noor kuhusu Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran siku ya Alhamisi. Katika mahojiano na ‘Al-Siyasah Al-Youm’ , Sheikh Maher…

Siku ya mazazi ya Imam Ali bin Abi Twalib (a.s) furaha kubwa kwa Waislamu wote ulimwenguni

Siku ya mazazi ya Imam Ali bin Abi Twalib (a.s) furaha kubwa kwa Waislamu wote ulimwenguni

Leo Jumapili tarehe 13 Rajab mwaka 1441 Hijria sawa na Tarehe 8 mwezi Machi mwaka 2020 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muumin Ali (A.S) Imam wa Kwanza wa Waislamu wa Kishia ulimwenguni. Ali bin Abi Twalib (as) alizaliwa katika nyumba tukufu ya al Kaaba tarehe 13 Rajab miaka 23 kabla ya Hijra ya Mtume (saw)…

Mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa,  kumbukumbu ya miaka 11

Mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa, kumbukumbu ya miaka 11

Februari 14, 2022 inasadifiana na kumbukumbu ya miaka 11 ya mwamko na vuguvugu la watu wa Bahrain dhidi ya utawala wa Al Khalifa.Mchambuzi wa mambo kutoka  Marekani, Graham Fuller ameangazia hali ya Waislamu wa Bahrain na kusema: “Waislamu wa Bahrain ni watu waliosahauliwa.”  Mtazamo huu kuhusu Waislamu wa Bahrain umeonekana waziwazi katika miaka 11 iliyopita. Watu…

Kiswahili Sasa Kutumiwa Na AU katika Uendeshaji wa Vikao Vyao

Kiswahili Sasa Kutumiwa Na AU katika Uendeshaji wa Vikao Vyao

UMOJA wa Afrika (AU) sasa utaanza kutumia Kiswahili kama moja ya lugha kuu kuendeshea kazi zake, kufuatia hoja iliyopitishwa kwenye kongamano kuu la shirika hilo Jumapili jijini Addis Ababa, Ethiopia. Ombi hilo liliwasilishwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango (pichani), akishikilia kuwa Kiswahili kinapaswa kukwezwa hadhi na kuanza kutumika kutekelezea shughuli za kikazi…

Ushawishi wa Uzayuni katika Benki ya Dunia

Ushawishi wa Uzayuni katika Benki ya Dunia

Mnamo mwaka wa 1944, Bretton Woods, mji unaopatikana kwenye Jimbo la New Hampshire kwa ushirikiano na Marekani, waliidhinisha uanzilishi wa Shirika la Fedha la Kimataifa na Benki ya Dunia. Waanzilishi wakuu wa shirika hilo walikuwa Bretton Woods na baadaye IMF, ” Harry Dexter White ” na ” John Maynard Keynes “.Mnamo Oktoba 16, 1953, White…

Marekani yajipanga kutumia meli zisizo na nahodha katika eneo la Asia Magharibi

Marekani yajipanga kutumia meli zisizo na nahodha katika eneo la Asia Magharibi

Kamanda wa manowari ya tano ya Marekani (FIFTH Fleet), kikosi hicho kinalenga kupanua wigo wa utumiaji meli zisizo na nahodha na zinazojiendesha zenyewe katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati). Brad Cooper amesema, jeshi la majini la Marekani linajiandaa kutumia meli zisizo na nahodha katika eneo la Asia Magharibi kwa ajili ya kuifanyia kazi…

Iran na Saudia kuhuisha mahusiano, Balozi kufunguliwa tena hivi karibuni

Iran na Saudia kuhuisha mahusiano, Balozi kufunguliwa tena hivi karibuni

Mwanachama wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Saudia upo katika mkondo wa kuhuishwa. Mbunge huyo wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Jalil Rahimi Jahan-Abadi amesema hayo katika ujumbe aliotuma kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter mapema…