
Wanaharakati Wapinga Pendekezo Kwamba Mtoa Rushwa ya Ngono na Yeye Ashitakiwe
Mtandao wa Wadau Wanaopinga Rushwa ya Ngono ambao una wanachama zaidi ya 300 umekipinga vikali kipengele cha 10(b) kilichopo kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2024 kinachoeleza kwamba mtu ambaye atabainika kudai au kushwawishi kutoa rushwa ya ngono basi naye atashtakiwa. Kipengele hicho kimeenda mbali…

Niger: Uturuki yaelekea Afrika
Kufuatia kujiondoa kwa Amerika na Ufaransa nchini Niger, Ankara ilichukua fursa ya kujaza pengo hilo na kuzidisha juhudi zake za kidiplomasia katika kushawishi nchi za bara la Afrika. Katika ripoti iliyochapishwa na tovuti ya “Middle East Eye”, imeelezwa kuwa uhusiano kati ya Uturuki na Niger umeonekana kuimarika, na pande hizo mbili zimetia saini makubaliano ya…

Tanzania yaunga mkono juhudi za amani za Uturuki, asema Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisema kuwa nchi yake inaunga mkono juhudi za Uturuki za kutafuta suluhu na amani kwa mizozo ya kimataifa. “Vilevile tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya watu wa Gaza,” asema Hassan. “Pia tunaunga mkono wito wa dharura wa kusitishwa kwa mapigano kwa manufaa ya…

Unyonyaji wa Madini barani Afrika Bado Haujawanufaisha Waafrika. Lakini Nani wa kulaumiwa?
Viongozi wengi wa Kiafrika wanasalia kuwa vyombo mikononi mwa wakoloni, kuwezesha kutawaliwa kwa mwelekeo wa kikoloni kupitia uchumi unaotegemea madini. Afrika ni tajiri! Kwa watu wajasiri na wanaothamini asili, hili lingepita akilini mwa mtu fursa inapojitokeza ya kusafiri kwa barabara au kuruka juu ya mandhari ya Kiafrika. Kulingana na takwimu zilizopo kuhusu uchimbaji madini, bara…

Jeshi la Israel ndilo jeshi lenye maadili machafu zaidi duniani
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, jeshi la Israel ndilo jeshi lenye maadili machafu zaidi duniani na kusisitiza kuwa, uungaji mkono wa Hizbullah kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza utaendelea hadi taifa la Palestina litakapojikomboa. Shirika la habari la FARS limemnukuu Sayyid Hassan Nasrullah akisema hayo wakati wa mkesha wa mwezi mtukufu wa Muharram…

Jenerali wa Kizayuni: Kutangaza vita dhidi ya Hezbollah ni kujiua kwa pamoja
Jenerali huyo mstaafu wa jeshi la Kizayuni alipokua akionya dhidi ya kutangaza vita dhidi ya Hizbullah ya Lebanon, alidokeza ya kua kitendo hicho ni sawa na kujitakia mauti ya pamoja kwenye utawala huo. “Ishaq Brik”, jenerali mstaafu wa jeshi la utawala wa Kizayuni aliandika katika makala iliyochapishwa katika gazeti la Israel “Ma’ariv”: “Viongozi wa kijeshi…

Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa mapinduzi kwa wanafunzi wa Marekani wanaounga mkono taifa madhulumu la Palestina
Kulingana na Rais wa Chuo Kikuu cha Amir Kabir, Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunga mkono harakati za wanafunzi wa Marekani wanaounga mkono taifa la Palestina ni jambo lenye kuwapa nguvu na kuwatia moyo wale wapenda uhuru. Makundi ya muqawama ya Palestina yalianzisha operesheni ya kushtukiza maarufu kama kimbunga…

Msaada wa kutatanisha wa mwigizaji wa Italia kwa Wapalestina
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Italia ameonyesha msimamo wake wa kuwaunga mkono Wapalestina katika tamasha la filamu, jambo ambalo limezua hisia nyingi. Kwa mujibu wa shirika la habari la Anatolia la Türkiye, uungaji mkono wa mwigizaji huyo maarufu wa Italia kwa Wapalestina katika tamasha la filamu limezua hisia nyingi katika kurasa za habari. Kuhusiana na hili,…