Ripoti ya Gazeti la New York Times kuhusu mvutano wa Tel Aviv kwenye mipaka ya ardhi ya Lebanon
Gazeti moja la Marekani liliripoti kuhusu hali tete katika mipaka ya ardhi ya Lebanon na Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuendelea vitendo vya kichochezi vya jeshi la Kizayuni katika mipaka hiyo na kuwateka nyara wachungaji wa Lebanon kwa tuhuma za ujasusi wa Hizbullah. Gazeti moja la Marekani lilichapisha ripoti kuhusu hatua za jeshi la Kizayuni…
Sera ya machafuko ya Tel Aviv nchini Ukraine; Mafanikio ya Wazayuni kutokana na vita hayakuwa ila migogoro
Tovuti ya mtandao wa Al-Mayadeen katika ripoti yake sambamba na kuashiria kushindwa kwa sera za kigeni za utawala wa Kizayuni katika mgogoro wa Ukraine, imesisitiza kuwa, Tel Aviv haijapata mafanikio yoyote zaidi ya mzozo baina ya pande zote mbili za vita. Katika ripoti ya uchambuzi, tovuti ya mtandao wa “Al-Mayadeen” imezungumzia kushindwa kwa sera za…
Vyombo vya habari vya Kizayuni: Waarabu wanajitenga na sisi wakati wa Kombe la Dunia na wanapinga fikra ya uhalalishaji wa mapenzi ya jinsia moja
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimesema kuwa, wakaazi wa nchi za Kiarabu duniani wanajiweka kando na sisi na wako kinyume na uhalalishaji wa mapenzi ya jinsia moja. Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni viliripoti jana (Jumanne, Novemba 22) kwamba mashabiki wanaozungumza lugha ya Kiarabu walijitenga na vyombo vya habari vya lugha ya…
Kongamano kubwa “Kwa jina la mwanamke, kwa ajili ya Irani” na ushiriki wa mabinti wa mapinduzi
Katika mkutano wa leo na waandishi wa habari wa Jumuiya ya Mabinti wa Mapinduzi, afisa wa Jumuiya hii ya alisema: “Adui na watu wanaowapigia miluzi na kuwapigia makofi ndani ya nchi wamechukizwa na harakati kubwa za kimapinduzi. Jeshi la wanawake litaonyesha uwepo wao kwa adui siku ya 10 ya Azar na sherehe kubwa ya binti…
Kukaribia kumalizika muhula wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Msemaji wa serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan amesema kipindi cha uongozi wa serikali hiyo kitamalizika baada ya muda si mrefu ujao. Zabihullah Mujahid amevieleza vyombo vya habari katika mji mkuu wa nchi hiyo Kabul kwamba: juhudi mbalimbali zinaendelea kufanywa kwa ajili ya kupatikana mazingira mapya Afghanistan na serikali ya muda kuhitimisha shughuli zake. Mujahid…
Marekani yaingia katika hali ya mtafaruku usiku wa kuamkia uchaguzi wa bunge
Kufuatia kuanza kwa zoezi la upigaji kura wa posta katika uchaguzi wa katikati ya muhula wa Bunge la Marekani, Katika jimbo la Georgia, visa vingi vimeripotiwa vya uwepo wa walinzi holela waliojihami katika uchaguzi huo, na katika jimbo jingine, gari lililokuwa na kura za posta lilichomwa moto. Huku uchaguzi wa katikati ya muhula wa Bunge…
Kwa nini Iran yaingizwa katika machafuko kwenye kipindi kama hiki?
Machafuko yaliyotokea katika baadhi ya maeneo nchini Iran katika siku chache zilizopita hayawezi kuchambuliwa tu kwa kuangalia vigezo vya ndani pekee, lakini bila ya shaka, tukio kama hili lazima liwe na uhusiano na mambo yaliyonyuma ya pazia kwa upande wa pili wa mipaka. Katika nyusiku kadhaa zilizopita, uso wa mji wa Tehran na baadhi ya…
UN:Israel imebomoa Majengo 44 ya Wapalestina katika kipindi cha wiki mbili
Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa utawala ghasibu wa Israel umebomoa majengo 44 ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo ikiwa ni muendelezo wa siasa zake za unyakuzi wa ardhi za Palestina kinyume cha sheria. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema mamlaka za Israel katika…