Makala

Bakwata yawataka Waislamu kuiombea Palestina

Bakwata yawataka Waislamu kuiombea Palestina

Haya ni maneno ya Baraza la Kuu la waislamu Tanzania (Bakwata) wakionyesha mshikamano wao na Waislamu wenzao wa Palestina.Dar es Salaam. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka Waislamu wote nchini kuitumia sala ya Ijumaa kufanya dua maalumu kuliombea Taifa la Palestina lenye mgogoro dhidi ya Israel. Mbali na hilo, amewataka pia kufanya dua ya…

Watanzania waitwa kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina

Watanzania waitwa kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina

Haya ni maneno ya Balozi  wa Palestina nchini Tanzania  alipowaita Watanzania kutafiti mgogoro wa Israel, Palestina. Dar es Salaam. Ubalozi wa Palestina nchini umewakaribisha Watanzania kufanya tafiti zaidi kuhusu mgogoro wa Mashariki ya Kati ili kujua ukweli wa historia kati ya Israel na Palestina. Wito huo umetolewa na balozi wa Palestina nchini, Hamdi Mansour AbuAli…

ZITTO AMSHUTUMU MAHIGA KUSHIRIKIANA NA ISRAEL

ZITTO AMSHUTUMU MAHIGA KUSHIRIKIANA NA ISRAEL

Maneno ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) baada ya Tanzania kuanziasha na Isreal Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), ameshutumu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Augustine Mahiga kushirikiana na Israel wakati nchi hiyo inawanyanyasa Wapalestina. Amesema kwamba uamuzi wa Waziri Mahiga kushirikiana na nchi hiyo haukubaliwi…

Balozi Palestina aipongeza CCM

Balozi Palestina aipongeza CCM

Haya ni Mazungumzo ya Balozi wa Palestina nchini TAnzania akipongeza uhusiano wa Tanzania na Palestina BALOZI wa Mamlaka ya Palestina nchini, Hamdi Mansour AbuAli pamoja na mwanaharakati wa haki za binadamu Mashariki ya Kati, Dk. Uri Davis wamekipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa msimamo wake wa kuunga mkono jitihada za Wapalestina katika kupigania haki zao….

Balozi wa Palestina aitaka jumuiya ya kimataifa kuilaani Israel

Balozi wa Palestina aitaka jumuiya ya kimataifa kuilaani Israel

Haya ni maneno ya Balozi wa Palestina nchini Tanzania akiitaka Jumuiya ya kimataifa ilaani vitendo vya utawala haramu wa Israel kama inavyolaani vitendo vya Russia huko Ukraine, Dar es Salaam. Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali ameitaka jumuiya ya kimataifa kulaani vitendo vya Israel kukiuka makubaliano na Palestina kama ambavyo wamekuwa wakilaani uvamizi wa…

Sugu, Zitto wafunguka safari za Magufuli, uhusiano wa Tanzania kimataifa

Sugu, Zitto wafunguka safari za Magufuli, uhusiano wa Tanzania kimataifa

Wabunge hawa ni moja wapo wa Wanasiasa wa Tanzania waliopinga  na kukerwa na kuanzishwa upya kwa uhusiano wa Tanzania na Utawala haramu wa Israel. Dodoma. Safari chache za nje ya nchi zilizofanywa na Rais John Magufuli tangu aingie madarakani na uhusiano wa kimataifa wa Tanzania na nchi kadhaa, ni baadhi ya mambo yaliyogusa mjadala wa…

Uhusiano wa Tanzania, Israel ulivyoibua mjadala mpya wa kidiplomasia nchini

Uhusiano wa Tanzania, Israel ulivyoibua mjadala mpya wa kidiplomasia nchini

Haya ni baadhi  ya maoni yaliotolewa na Watalaamu na Wachambuzi wa Siasa na uhusiano wa Kimataifa baada ya Tanzania kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel. Mapema wiki hii historia ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel uliingia katika sura mpya. Dunia imeshuhudia Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Dk Augustine Mahiga…

Tanzania inaathirikaje Jerusalem ukiwa mji mkuu Israel

Tanzania inaathirikaje Jerusalem ukiwa mji mkuu Israel

Huu ni uchambuzi uliotolewa na mchambuzi wa Gazeti Mwananchi kuhusu  kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem akisema: Hivi karibuni Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kwamba ubalozi wake utahamishwa kutoka Tel Aviv kwenda Jerusalem. Akitetea uamuzi huo, Trump alisema ulishapitishwa na Baraza la Congress…