Mwakilishi wa Bunge la Ulaya: Mradi wa kikoloni wa Wazayuni na wafuasi wao umefichuliwa
Mwakilishi huyo wa Bunge la Ulaya amesema kuwa, mradi wa ukoloni wa walowezi wa Kizayuni na wafuasi wao, Umoja wa Ulaya na Marekani, umefichuliwa kikamilifu. Kwa mujibu wa IRNA Sunday, mbunge wa Ulaya Mike Wallace alichapisha picha yake katika mtandao wa kijamii wa X (zamani wa Twitter) inayomuonyesha akiwa ameshikilia bendera ya Palestina katika uwanja…
Niger: Uturuki yaelekea Afrika
Kufuatia kujiondoa kwa Amerika na Ufaransa nchini Niger, Ankara ilichukua fursa ya kujaza pengo hilo na kuzidisha juhudi zake za kidiplomasia katika kushawishi nchi za bara la Afrika. Katika ripoti iliyochapishwa na tovuti ya “Middle East Eye”, imeelezwa kuwa uhusiano kati ya Uturuki na Niger umeonekana kuimarika, na pande hizo mbili zimetia saini makubaliano ya…
Kinyang’anyiro cha Israeli Afrika: Uuzaji maji, silaha na uwongo
Israel inajaribu kuandika historia upya kwa malengo ya kugusa mioyo ya Waafrika wa kawaida, Je itafanikiwa? Kwa miaka mingi, Kenya imetumika kama lango la Israeli kwa Afrika. Israel imekuwa ikitumia uhusiano mkubwa wa kisiasa, kiuchumi na kiusalama kati ya mataifa hayo mawili kama njia ya kupanua ushawishi wake katika bara hilo na kuyageuza mataifa mengine…
Huyu ndiye Ismail Haniyeh, Kiongozi Mkuu wa Kisiasa wa HAMAS aliyeuawa shahidi Tehran
Jumanne usku ya tarehe 30 Julai 2024, Ismail Haniyeh Kiongozi wa Tawi la Kisiasa la Harakati ya HAMAS ameuawa shahidi akiwa na mlinzi wake mmoja hapa Tehran. Ufuatao hapa chini ni wasifu kwa muhtasari wa maisha yake. Ismail Haniyeh alizaliwa mwaka 1962 katika kambi moja ya wakimbizi ya Ukanda wa Ghaza. Ukata na njaa iliyotokana…
Uhusiano kati ya Tanzania na Utawala wa Kizayuni
Ubalozi wa Tanzania mjini Tel Aviv ulifunguliwa mnamo mwaka 2018 na umejizuia kupiga kura dhidi ya taifa la Kiyahudi la Israel kwenye Umoja wa Mataifa na baadhi ya vikao vya kimataifa. Siku ya Jumanne, tarehe 4 Novemba, gazeti la Mwananchi la Tanzania liliandika katika makala yenye kichwa hatua za Tanzania katika diplomasia: Ubalozi wa Tanzania…
Unyonyaji wa Madini barani Afrika Bado Haujawanufaisha Waafrika. Lakini Nani wa kulaumiwa?
Viongozi wengi wa Kiafrika wanasalia kuwa vyombo mikononi mwa wakoloni, kuwezesha kutawaliwa kwa mwelekeo wa kikoloni kupitia uchumi unaotegemea madini. Afrika ni tajiri! Kwa watu wajasiri na wanaothamini asili, hili lingepita akilini mwa mtu fursa inapojitokeza ya kusafiri kwa barabara au kuruka juu ya mandhari ya Kiafrika. Kulingana na takwimu zilizopo kuhusu uchimbaji madini, bara…
Afrophobia tishio kwa ndoto ya Afrika
Kuna haja ya kuikumbatia tena ndoto ya umoja wa Afrika na kudai uhuru wa kusafiri kwa Waafrika wote ndani ya bara hili. Akiongea katika Jukwaa la Mkurugenzi Mtendaji wa Afrika mjini Kigali, Rwanda, tajiri mkubwa zaidi barani Afrika, na bilionea wa Nigeria Aliko Dangote, alilalamika kwamba anakabiliwa na vizuizi vingi zaidi vya kuzunguka Afrika hata…
Msaada wa kutatanisha wa mwigizaji wa Italia kwa Wapalestina
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Italia ameonyesha msimamo wake wa kuwaunga mkono Wapalestina katika tamasha la filamu, jambo ambalo limezua hisia nyingi. Kwa mujibu wa shirika la habari la Anatolia la Türkiye, uungaji mkono wa mwigizaji huyo maarufu wa Italia kwa Wapalestina katika tamasha la filamu limezua hisia nyingi katika kurasa za habari. Kuhusiana na hili,…