HRW: Marekani imepuuza kuwapa fidia Wairaq walioteswa katika jela ya Abu Ghuraib
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Marekani imepuuza kutoa fidia kwa Wairaq walioteswa na askari wa jeshi la nchi hiyo. Wakati wa vita vyake vya muda mrefu nchini Iraq, Marekani imeua raia wengi na kutesa idadi isiyohesabika ya washukiwa bila kuwafungulia mashtaka katika magereza yake kadhaa…
Hii ni “Israeli”; “Nyumba ya buibui”
Zaidi ya miezi sita imepita tangu kuanza kwa mgogoro wa ndani wa utawala wa mpito wa Israel, na wavamizi wanaona utimilifu wa nadharia ya kimungu ya nyumba ya buibui uko karibu zaidi kuliko hapo awali, ambapo wachambuzi wa mambo wanaamini kuwa, hatima ya Tel Aviv imehusishwa na migogoro na uharibifu toka mwanzo. Baada ya wiki…
Kufukuzwa kwa wakimbizi wa Kiukreni kutoka kwa hospitali za Kizayuni
Kufuatia unyanyasaji wa wakimbizi wa Ukraine unaofanywa na utawala wa Kizayuni, gazeti moja la Israel liliripoti kuhusu kufukuzwa hospitalini wagonjwa wa Ukraine na kutorejeshwa upya kwa bima ya afya zao. Gazeti la Kizayuni la Ha’aretz limefichua kwa kuchapisha ripoti kwamba kutokana na ukosefu wa ufadhili maalum kwa ajili ya wakimbizi wa Kiukreni unaofanywa na Wizara…
Afisa wa Palestina: Kambi ya Ain Halweh inaunga mkono upinzani wa Lebanon
Ali al-Faisal, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Kitaifa la Palestina amesema kuwa, mipango ya baraza la mawaziri lililokithiri la utawala wa Kizayuni kuhusiana na kuhajiri na kufukuzwa wananchi wa Palestina katika ardhi yao imeliingiza taifa hili kwenye mabadiliko na matukio ya kisiasa. Kwa kushiriki katika kipindi cha Ma’hadath cha Al-Alam News Network, alisema kuwa matukio…
UN yaonya kuhusu kuzorota uchumi nchini Sudan Kusini kutokana na mzozo wa Sudan
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa huko Sudan Kusini (UNMISS) umetahadharisha kuhusu kuzorota uchumi wa nchi hiyo kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vya nchi jirani ya Sudan ambayo ndio mshipa wa uhai wa Sudan Kusini. Nicholas Haysom, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa UNMISS amesisitiza kuwa, shambulio dhidi…
UADILIFU NDIO MSINGI ASASI WA UCHA MUNGU – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Julai 14, 2023 HOTUBA YA KWANZA: UADILIFU NDIO MSINGI ASASI WA UCHA MUNGU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha…
Upanuzi wa jeshi la anga la Amerika katika kambi ya Ain al-Asad nchini Iraq
Mwanaharakati wa kisiasa nchini Iraq alitangaza kuwa jeshi la Amerika limepanua kitengo chake cha anga kwa asilimia ishirini katika kambi ya Ain al-Asad. Wanachama wakuu wa Muungano wa Mfumo wa Uratibu (Muungano wa Chama cha Shia cha Iraq) wametangaza Alhamisi hii kuhusu upanuzi wa kitengo cha mas’ala ya angani cha Jeshi la Marekani katika kambi…
mamlaka ya upinzani ya Palestina; Jihad Islami imemtatiza sana Netanyahu
Faraan: Hali ya mshangao ya utawala wa Kizayuni mjini Jenin ni ya kipekee na ya kutia matumaini, kuanzia kwa Netanyahu, ambaye hajapumzisha kichwa chake kwa mda wa miezi kadhaa na mara kwa mara husubiria tukio hilo, ambalo bila shaka linaonekana chini ya chapa ya “mshangao na wa kipekee.” “katika hali mpya. Uchambuzi: – Mwanzo wa…