Mashariki ya kati

Imamu Khamenei: Kilichotokea Syria ni matokeo ya mpango wa pamoja wa Marekani na Israel

Imamu Khamenei: Kilichotokea Syria ni matokeo ya mpango wa pamoja wa Marekani na Israel

Kiiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kiilichotokkea Syria ni njama na mpango wa pamoja wa Marekani na utawala haramu wa Israel. Ayatullah Sayyid Khamenei amesema hayo leo mbele ya hadhara kubwa ya matabaka mbalimbali ya wananchi katiika Husseiniya ya Imamu Khomeini na kusisitiza kwamba, haipasi kutilia shaka kwamba yaliyotokea Syria ni natija yampango…

Balozi wa Sudan: Israel na vikundi vyake vya wakala vinamchango katika vita nchini Sudan

Balozi wa Sudan: Israel na vikundi vyake vya wakala vinamchango katika vita nchini Sudan

Balozi wa Sudan mjini Tehran amesema kuwa, kinachoendelea Sudan ni jinai kubwa na kusema kuwa, Israel na makundi ya wawakilishi wake katika eneo hilo ndio wanaoendesha mizozo ya hivi sasa nchini Sudan. Abdul Aziz Hasan Saleh Taha, balozi wa Sudan mjini Tehran, alielezea matukio ya hivi punde nchini Sudan katika mkutano na waandishi wa habari…

Hamas yathibitisha rasmi kuuawa kwa Yahya al-Sinwar

Hamas yathibitisha rasmi kuuawa kwa Yahya al-Sinwar

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ilithibitisha rasmi kuuawa shahidi Yahya Sanwar, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya harakati hio. “Khalil al-Hayya”, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas katika Ukanda wa Gaza, mchana wa leo (Ijumaa), katika ujumbe uliotangazwa kwenye mtandao wa “Al-Aqsa”, alithibitisha rasmi kuuawa shahidi “Yahya Al-Sinwar” , aliyekua mkuu…

CNN: Utumiaji wa Iran wa zana za mafuta ishara mbaya kwa Marekani

CNN: Utumiaji wa Iran wa zana za mafuta ishara mbaya kwa Marekani

CNN iliandika katika ripoti yake kwamba Iran ina hiyari ya kufanya uamuzi unaoweza kusababisha kupanda kwa bei ya mafuta kwa viwango vya juu zaidi ikilinganishwa na rekodi za awali, na ongezeko hili litakuwa na madhara makubwa kwa Marekani na uchumi wa dunia nzima. Kufuatia wasiwasi wa kusita kwa usambazaji wa mafuta ya Iran, bei ya…

Uchambuzi wa malengo ya utawala wa Kizayuni katika shambulio dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus

Uchambuzi wa malengo ya utawala wa Kizayuni katika shambulio dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus

Habari : Sababu na malengo ya shambulio la kikatili la Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus ndio wasiwasi mkubwa wa vyombo vingi vya habari vya Kiarabu, Kiislamu na kimataifa. Kila chombo cha habari hujaribu kutafuta uhalali wa uchokozi huu kulingana na sera yake ya uhariri na mielekeo ya wafadhili wake. uchambuzi; –…

Hamas yakaribisha kauli ya viongozi wa Afrika

Hamas yakaribisha kauli ya viongozi wa Afrika

Harakati ya Hamas  imekaribisha kauli ya “Umoja wa Afrika” kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza. Kwa mujibu wa shirika la habari la Palestina “Shahab”, katika taarifa ya harakati ya Hamas, imeeleza: Sisi katika Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Hamas) tunakaribisha taarifa ya mwisho ya Mkutano wa 37 wa Umoja wa…

Tofauti zazidi kupamba moto nchini Israeli, Je Netanyahu ataondoka ?

Tofauti zazidi kupamba moto nchini Israeli, Je Netanyahu ataondoka ?

Huku mifarakano ikizidi kupamba moto katika muhimili mkuu wa kisiasa na wa kijeshi wa utawala ghasibu wa Israel kutokana na ukosefu wa mazingatio kwa baraza la mawaziri la muungano wake kuhusu suala la kusitisha vita vya Ghaza, viongozi wengi wa kisiasa na wa kijeshi wa utawala huo ghasibu wanamaoni kuwa Netanyahu ataanguka hivi karibuni. “Tunapaswa…

Ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani katika eneo kwa ajili ya ajenda ya mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja na Iran

Ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani katika eneo kwa ajili ya ajenda ya mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja na Iran

Afisa wa ngazi ya juu Bw. Blinken kutoka kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ametangaza kuwa, mawasiliano yasiyo ya moja kwa moja na Iran ndiyo yatakuwa lengo kuu la ziara yake katika eneo la Mashariki ya Kati ili kuepusha kuongezeka kwa mivutano. Televisheni ya “CNN” ilimnukuu afisa huyu wa Marekani, ambaye utambulisho wake…