Mashariki ya kati

Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani

Iran: Matukio ya karibuni ya Ukraine ni matunda ya uingiliaji wa Marekani

Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani na nchi za Magharibi zinataka kutekeleza siasa zao za kibeberu katika maeneo yote hassasi na ya kiistratijia duniani na kwamba matukio ya Ukraine ni matunda ya mtazamo huo wa kiistikbari wa Magharibi. Shirika la habari la FARS limemnukuu Brigedia Jenerali Mohammad-Reza Gharaei Ashtiani akisema hayo jana wakati alipoonana na…

Yemen: Tuna uwezo wa kupiga popote katika maji yanayoizunguka nchi yetu

Yemen: Tuna uwezo wa kupiga popote katika maji yanayoizunguka nchi yetu

Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, nchi hiyo ina uwezo wa kupiga na kushambulia katika sehemu yoyote ya maeneo ya majini yaliyoko karibu na Yemen. Televisheni ya Almasirah imetangaza habari hiyo leo Ijumaa na kumnukuu Mahdi al Mashat akisema hayo wakati wa gwaride kubwa la kijeshi lililofanyika kwenye mkoa wa al Hudaidah…

IRGC ya Iran yaeleza ilivyotwaa na kuachia huru droni ya Marekani

IRGC ya Iran yaeleza ilivyotwaa na kuachia huru droni ya Marekani

Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa maelezo ya kina kuhusu namna lilivyoteka na kisha kuachia huru ndege isiyo na rubani ya baharini ya Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi. IRGC imefafanua kuwa, imetoa maelezo hayo ili kujibu madai ya kuchekesha ya Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la…

Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui

Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran ni ya ajabu, yenye kuonyesha nguvu na yenye uwezo wa kumzuia adui huku akisisitiza kuwa: “Vikosi vya kijeshi vya Iran viko tayari kujibu vitisho vya adui.” Meja Jenerali Hossein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi…

Mapitio ya barua ya kihistoria ya Imam Khomeini (RA) kwa Gorbachev

Mapitio ya barua ya kihistoria ya Imam Khomeini (RA) kwa Gorbachev

Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Muungano wa Jamhuri za Kisoshalisti za Sovieti (Union of Soviet Socialist Republics, USSR) alifariki dunia Jumanne usiku katika hospitali moja mjini Moscow, Russia akiwa na umri wa miaka 91 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mnasaba wa kifo cha Gorbachev, tunalifanyia mapitio moja ya matukio muhimu zaidi yaliyojiri katika…

Rais wa Lebanon: Misimamo ya Imamu Musa Sadr inatoa ilhamu kwetu sote

Rais wa Lebanon: Misimamo ya Imamu Musa Sadr inatoa ilhamu kwetu sote

Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema, misimamo ya Imamu Musa Sadr ni chemchemi ya ilhamu kwa Walebanon wote ili wafanye juhudi kwa ajili ya ukombozi wa nchi na watu wake. Rais wa Lebanon ameyasema hayo kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyotekwa nyara Imamu Musa Sadr alipokuwa safarini nchini Libya. Kwa mujibu wa tovuti ya habari…

Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora

Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora

Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi. Wanajeshi makatili wa utawala huo pandikizi wamewaua shahidi mabarobaro wawili wa kiume wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan. Kituo cha Habari cha Palestina kimeripoti kuwa, vijana hao wa Kipalestina Yazan Afana…

Kanada na Uingereza zilishirikiana kusafirisha wasichana kujiunga na magaidi wa Daesh

Kanada na Uingereza zilishirikiana kusafirisha wasichana kujiunga na magaidi wa Daesh

Idara ya ujasusi ya Kanada ilihusika katika kutuma wasichana kwenda kujiunga na kundi la kigaidi la Daesh au ISIS na serikali ya Uingereza ilijua nafasi ya Kanada katika kashfaa hiyo lakini ikajizuia kuifichua. Hayo yamefichuliwa na mwandishi ambaye anaeleza kuhusu kisa cha Shamima Begum, raia wa zamani wa Uingereza ambaye alijiunga na ISIS mwaka 2015 akiwa na…