
Wananchi wa Morocco wateketeza moto bendera za Israel katika maandamano
Wananchi wa Morocco waliokuwa na hasira wameteketeza moto bendera za utawala wa Kizayuni wa Israel mbele ya bunge la nchi hiyo katika maandamano ya kulaani hujuma ya utawala huo dhidi ya Gaza. Aidha wameteketeza moto bendera hizo za utawala wa Kizayuni kama njia ya kulaani hatua ya utawala wa Morocco kuanzisha uhusiano wa kawaida na…