
Bakwata yawataka Waislamu kuiombea Palestina
Haya ni maneno ya Baraza la Kuu la waislamu Tanzania (Bakwata) wakionyesha mshikamano wao na Waislamu wenzao wa Palestina.Dar es Salaam. Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limewataka Waislamu wote nchini kuitumia sala ya Ijumaa kufanya dua maalumu kuliombea Taifa la Palestina lenye mgogoro dhidi ya Israel. Mbali na hilo, amewataka pia kufanya dua ya…

Putin mjini Tehran; Makubaliano ya kimkakati na kutafuta usaidizi wa kukwepa vikwazo
Gazeti la Qatar lachapisha kidokezo kinachotoa uchambuzi wa vipimo vya mikakati ya ziara ya kwanza ya rais wa Urusi mjini Tehran katika zama za urais wa Sayed Ibrahim Raisi. Katika kizingiti cha safari ya Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Tehran akihudhuria mkutano wa wakuu wa nchi tatu akiwemo Rais wa Jamuhuri ya Iran Ebrahim…

Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Sikukuu ya Ghadir
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la Jaji Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam Hossein Mohseni Ejei la kupunguziwa vifungo au kuachiwa huru wafungwa zaidi ya 2,000 wa Kiirani. Msamaha huo wa wafungwa 2,272 wa Kiirani waliokuwa wakitumikia vifungo tofauti katika jela za Iran ulitangazwa jana Jumapili na Ofisi ya Ayatullah…

Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake
Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Saudi Arabia ya kuufungulia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mipaka ya anga yake ni sawa na kuwa mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala huo na ni usaliti kwa umma wa Kiislamu. Siku ya Alkhamisi iliyopita, utawala wa Kizayuni ulipitisha vipengele viwili vya makubaliano yanayohusiana na visiwa viwili vya…

Fawzi Barhoum: Shambulio dhidi ya Gaza ni kilele cha uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za Wazayuni
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amelitaja shambulio la ndege za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza kuwa ni kilele cha uungaji mkono wa Washington kwa jinai na uhalifu unaofanywa na utawala huo. Ni baada ya ndege za kivita za Israel kushambulia kambi ya wanamapambano wa Wapalestina huko…

ZITTO AMSHUTUMU MAHIGA KUSHIRIKIANA NA ISRAEL
Maneno ya aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo) baada ya Tanzania kuanziasha na Isreal Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo), ameshutumu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Augustine Mahiga kushirikiana na Israel wakati nchi hiyo inawanyanyasa Wapalestina. Amesema kwamba uamuzi wa Waziri Mahiga kushirikiana na nchi hiyo haukubaliwi…

Jen. Shekarchi: Marekani, Israel zinajua vyema gharama ya kuitishia Iran
Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zinatambua vizuri kile ambacho kitawafika iwapo zitathubutu kutelekeza kivitendo vitisho vyao dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu. Brigedia Jenerali Abolfazl Shekarchi, Msemaji wa Jeshi la Iran amesema ukongwe wa Rais Joe Biden na tabia yake ya kupenda kulala ndiyo imempelekea atumie lugha…

Balozi wa Palestina aitaka jumuiya ya kimataifa kuilaani Israel
Haya ni maneno ya Balozi wa Palestina nchini Tanzania akiitaka Jumuiya ya kimataifa ilaani vitendo vya utawala haramu wa Israel kama inavyolaani vitendo vya Russia huko Ukraine, Dar es Salaam. Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali ameitaka jumuiya ya kimataifa kulaani vitendo vya Israel kukiuka makubaliano na Palestina kama ambavyo wamekuwa wakilaani uvamizi wa…