Mashariki ya kati

Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15

Mkutano wa kihistoria kati ya Haniyah na Abbas baada ya miaka 15

Ismail Haniyah, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Mahmoud Abbas, mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, wamekutana baada ya miaka mingi ya uhusiano wa pande mbili kukatika. Tangu 2007, uhusiano kati ya Hamas na Mamlaka ya Ndani ya Palestina umekuwa ukikabiliwa na hitilafu kubwa, kufuatia…

Ibada ya Hija yaanza katika Mji Mtakatifu wa Makka

Ibada ya Hija yaanza katika Mji Mtakatifu wa Makka

Ibada ya kila mwaka ya Hija imeanza rasmi leo Alhamisi katika mji mtakatifu wa Makka, ikiashiria hatua kubwa kuelekea hali ya kawaida baada ya miaka miwili ya janga la corona ambapo idadi ya Mahujaji ilipunguzwa sana. Waislamu milioni moja leo wamekusanyika katika mji mtakatifu Makka  nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija. Idadi hii bado…

Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

Iran na Uganda kuimarisha uhusiano wa kiuchumi

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Diplomasia ya Uchumi amekutana na kuzungumza kwa nyakati tofauti na Rais na Waziri Mkuu wa Uganda kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kiuchumi kati ya nchi mbili. Mahdi Safari amekutana na Waziri Mkuu wa Uganda Robinah Nabbanja na kujadili kuendeleza ushirikiano kati ya nchi mbili…

Waziri wa Utamaduni wa Yemen: Mamluki wa Saudia wanaiba athari za kale za Yemen

Waziri wa Utamaduni wa Yemen: Mamluki wa Saudia wanaiba athari za kale za Yemen

Waziri wa Utamaduni wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ametangaza kwamba mamluki wa Saudi Arabia na washirika wake wanajaribu kupora athari za kale za nchi hiyo. Abdullah Ahmad al-Kibsi, Waziri wa Utamaduni wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen, amesema mamluki wa muungano vamizi unaoongozwa na Saudia wanafanya juhudi za kuiba vitu na…

Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran

Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran

Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza uraibu wa nchi hiyo wa kuziwekea vikwazo nchi mbalimbali kwa kutangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta na petrokemikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Wizara ya Hazina ya Marekani jana Jumatano ilitangaza kuziwekea vikwazo kampuni mbalimbali zenye makao yao katika Umoja wa Falme za Kiarabu, eti kwa kufanikisha…

Uungaji mkono wa wanazuoni wa Bahrain kwa mpango wa Sheikh Isa Qassim; umoja wa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa

Uungaji mkono wa wanazuoni wa Bahrain kwa mpango wa Sheikh Isa Qassim; umoja wa wapinzani wa utawala wa Aal Khalifa

Kwa kuunga mkono taarifa iliyotolewa na Sheikh Isa Qassim, kiongozi wa kidini, dhidi ya utawala wa Aal Khalifa, wanazuoni wa Bahrain wamesisitiza udharura wa kuwepo umoja miongoni mwa wapinzani wa utawala wa kidikteta wa nchi hiyo. Tangu Februari 2011 hadi sasa, Bahrain imekuwa ikishuhudia maandamano na mapambano ya wananchi dhidi ya utawala wa kidikteta wa…

Marekani yafumbia macho ukweli kuhusu mauaji ya Shireen Abu Akleh

Marekani yafumbia macho ukweli kuhusu mauaji ya Shireen Abu Akleh

Licha ya kuwepo ushahidi na dalili za wazi kuhusu mauaji ya Shireen Abu Akleh, mwandishi ya televisheni ya al-Jazeera ya nchini Qata, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa taarifa ikidai kwamba mauaji hayo hayakuwa ya makusudi. Hii ni katika hali ambayo mauaji hayo yalitekelezwa mbele ya macho ya mamilioni ya walimwengu na bila…

Rais wa Iran: Kuimarisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za eneo ni dharura

Rais wa Iran: Kuimarisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za eneo ni dharura

Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna udharura wa kutumia fursa zilizojitokeza kuimarisha uhususiano wa kibiashara na nchi za eneo. Rais Ebrahim Raeisi ameyasema hayo leo Jumatano mjini Tehran katika kikao cha Baraza la Mawaziri na kuongeza kuwa kuna udharura wa kuimarisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za eneo hasa nchi…