
Russia: Mashambulio ya anga ya Israel dhidi ya Syria hayakubaliki hata kidogo
Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imelaani vikali shambulio la anga lililofanywa hivi karibuni na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria. Siku ya Jumamosi, ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zilishambulia kitongoji cha Hamidiyah kusini mwa mkoa wa Tartus. Raia wawili walijeruhiwa katika shambulio hilo. Katika taarifa, wizara…

Familia ya Shireen yakosoa ripoti ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani
Watu wa familia ya Shireen Abu Akleh, mwandishi habari Mpalestina ambaye aliuliwa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel akiripoti matukio yaliyokuwa yakijiri katika mji wa Jenin, wamokosoa vikali ripoti iliyotolewa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kuhusu mauaji hayo. Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza…

Amir-Abdollahian: Mazungumzo yenye tija yanahitaji Marekani kuwa na nia ya dhati na kuwa tayari kubadilika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, mazungumzo yenye tija yanategemea upande wa Marekani utakavyokuwa na nia ya dhati, ubunifu na kuwa tayari kubadilika. Amir-Abdollahian ameyasema hayo katika mazungumzo aliyofanya Jumatatu kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman Sayyid Badr Albusaidi ambapo sambamba na…

Silaha ya Muqawama, dhamana pekee ya kupata maslahi ya Lebanon katika medani ya gesi ya Karish
Jumamosi iliyopita harakati ya Hizbullah ya Lebanon ilirusha ndege tatu zisizo na rubani katika anga eneo lenye utajiri wa gesi la Karish. Eneo hili lina futi za ujazo trilioni 203 za gesi, na utawala wa Kizayuni wa Israel unataka kulidhibiti na kuwa muuzaji wa gesi badala ya mtumiaji tu wa nishati hiyo na kulitumia kama nyenzo…

Daktari Muirani atunukiwa tuzo ya juu ya kielimu ya daktari bingwa wa mfumo wa mkojo duniani
Profesa Nasser Simforoosh wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Shahid Beheshti cha Iran ameshinda tuzo ya kielimu ya juu ambayo hutolewa kwa madaktari bora duniani katika fani ya mfumo wa mkojo (Urorogist). Dakta Simforoosh ambaye ni mhadhiri na mwanachama wa Akademia ya Kisayansi katika Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Shahid Beheshti…

Raisi: Historia haitasahau kamwe uhalifu wa Marekani dhidi ya taifa la Vietnam
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika hafla ya kupokea hati za utambulisho za balozi mpya wa Vietnam mjini Tehran kwamba historia haitasahau kamwe jinai zilizofanywa na Marekani dhidi ya taifa la Vietnam. Inakadiriwa kuwa, zaidi ya milioni tatu waliuawa wakati wa vita vya Marekani dhidi ya taifa la Vietnam. Vilevile karibu galoni milioni 18 na…

Mshauri wa Rais wa Iran: Magaidi wa ISIS wametokana na fikra za Kimarekani
Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limetokana na fikra za Kimarekani. Kwa mujibu wa taarifa ya IRNA, Mamusta Abdulsalam Karimi Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini aliyasema…

Tahadhari ya UN kuhusu maafa ya binadamu huko Ukanda wa Gaza
Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake kwamba kuzingirwa kwa miaka 15 kwa Ukanda wa Gaza kumesababisha maafa makubwa katika eneo hilo. Tangu mwaka 2006 utawala wa Kizayuni wa Israel umeliweka eneo la Ukanda wa Gaza chini ya mzingiro wa pande zote. Sababu kuu ya mzingiro wa utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza ni…