Mashariki ya kati

Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu jinai za Marekani

Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu jinai za Marekani

Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa ujumbe wa Twitter kwa mnasaba wa kukumbuka jinai ya meli ya kivita ya Marekani iliyotungua ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ghuba ya Uajemi. Ujumbe huo umeambataisha taarifa za jinai hiyo ya kuogofya na kuwaenzi waliouawa shahidi katika tukio…

Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija

Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija

Mkuu wa oparesheni ya kuwabeba Wairani wanaoenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu amesema oparesheni hiyo inakamilika usiku wa leo. Gholareza Rostamian mkuu wa oparesheni ya Hija katika viwanja vya ndege vya Iran ametoa taarifa kuhusu mchakato mzima wa kuwabeba Mahujaji kuelekea Saudia na kusema: “Tokea tuanzishe oparesheni ya kuwabebe waumini kuekelea Hija, hadi sasa…

Israel yaonywa kuhusu kujaribu kubadilisha muundo wa Msikiti wa Aqsa

Israel yaonywa kuhusu kujaribu kubadilisha muundo wa Msikiti wa Aqsa

Mabadiliko yoyote ambayo utawala haramu wa Israel unapanga kuyatekeleza katika hali ya miongo kadhaa iliyopita katika ukuta wa eneo lote la Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) yanaweza kuzua vita vya kidini katika eneo hilo. Onyo hilo limetolewa na Idara ya Wakfu ya Kiislamu, inayosimamia Msikiti wa Al-Aqsa na maeneo matakatifu ya Waislamu mjini Quds….

Wanawake wa Afghanistan wakosoa kutoalikwa katika kikao cha Loya Jirga

Wanawake wa Afghanistan wakosoa kutoalikwa katika kikao cha Loya Jirga

Wanawake wa Afghanistan wamekosoa kufanyika kikao cha maulamaa wa kidini wa Baraza la Ushauri kwa ajili ya amani ya Afghanistan (Loya Jiirga) bila ya wanawake wa nchi hiyo kuhudhuria. Kutoshirki wanawake katika kikao hicho kunamaanisha kupuuzwa nusu ya jamii ya watu wa Afghanistan. Kikao cha siku tatu cha faragha cha Loya Jirga kimefanyika  Kabul mji…

Ukatili ambao Wazayuni wanawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa

Ukatili ambao Wazayuni wanawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa

Mwakilishi wa kudumu wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, ukatili wa mtawalia na wa kimfumo ambao utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unawafanyia Wapalestina ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa. Katika kuhakikisha unafikia malengo yake ya kujipanua, utawala wa Kizayuni kila siku unavamia maeneo tofauti ya Palestina na kuwaua shahidi, kuwajeruhi au…

Mahakama ya Juu ya India yamtaka msemaji wa zamani wa chama tawala kuomba radhi kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw)

Mahakama ya Juu ya India yamtaka msemaji wa zamani wa chama tawala kuomba radhi kwa kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw)

Mahakama ya Juu ya India imemtaka msemaji wa zamani wa chama tawala nchini India cha Bharatiya Janata kinachoongozwa na Waziri Mkuu, Narendra Modi, Nupur Sharma, kujitokeza kwenye televisheni na kuomba radhi kwa taifa zima la India, baada ya matamshi yake ya kumvunjia heshima Mtume Muhammad (saw) ambayo yameisababisha maandamano makubwa na kuchochea hali ya mvutano…

Ansarullah: Uwezo wa jeshi la Yemen umepiku wa nchi nyingi za Kiarabu

Ansarullah: Uwezo wa jeshi la Yemen umepiku wa nchi nyingi za Kiarabu

Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amepongeza hatua kubwa iliyopigwa na nchi hiyo katika kujizalishia makombora ya balestiki ya masafa marefu na kusisitiza kuwa, uwezo wa jeshi la Yemen unazipiku nchi nyingi za Kiarabu. Abdulmalik Badruddin al Houthi, Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen alisema hayo jana katika hotuba iliyorushwa hewani mubashara…

Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine

Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine

Iran imesisitiza dhamira yake ya kuchangia katika utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo unaotokota nchini Ukraine, ambao sasa unaingia mwezi wa tano. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian katika mazungumzo ya simu na mwenzake wa Ukraine Dmytro Kuleba  ameashiria msimamo wa Iran wa kupinga vita na kusisitiza juu ya kutatuliwa mgogoro huo kwa njia…