
Mazungumzo ya kufufua JCPOA kufanyika katika Ghuba ya Uajemi
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA itafanyika katika moja ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi. Katika mkutano wa kila wiki na waandishi wa habari hii leo, Saeed Khatibzadeh amebainisha kuwa, “Mungu Akipenda, moja ya nchi za Ghuba ya…

Amir-Abdollahian: Iran inaamini kuwa kutatua matatizo ya eneo kutztokea ndani ya eneo lenyewe na sio nnje
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaamini kwenye kutatua matatizo ya eneo kutokea ndani ya eneo lenyewe na ameshukuru na kuthamini juhudi zinazofanywa na Iraq za kutilia nguvu mazungumzo na mchango wa nchi hiyo katika kuleta uwiyano wa kikanda na mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran…

Hania: Makombora 150 yatausambaratisha utawala wa Kizayuni chini ya dakika tano
Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameeleza kuwa, msikiti wa al Aqsa unakaribia kukombolewa na kusisitiza kuwa, makombora 150 yatauangamiza utawala wa Kizayuni katika muda wa chini ya dakika tano. Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu umegeuzwa kuwa eneo la wanajeshi…

Yemen yalalamikia vikwazo vya Riyadh dhidi ya mahujaji wa Yemen
Afisa wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amepinga masharti na vikwazo ambavyo Saudi Arabia imewawekea mahujaji wa Yemen. Ripoti zinasema kuwa, askari usalama wa Saudia wamekamata mahujaji kadhaa kutoka nchi kama vile Misri, Libya, Yemen na Syria katika ibada ya Hija ya mwaka huu huko katika ardhi tukufu ya Makka. Kwa mujibu wa shirika…

Rais wa Iran afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Iraq mjini Tehran
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mchana wa leo amemlaki rasmi Waziri Mkuu wa Iraq mjini Tehran. Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo Jumapili amemlaki rasmi Waziri Mkuu wa Iraq Mustafa al Kadhimi katika ikulu ya Saad- Abad hapa Tehran. Waziri Mkuu wa Iraq leo adhuhuri amewasili Tehran akiongoza…

Waziri wa Ulinzi wa Yemeni: Hifadhi za silaha za kimkakati za nchi hiyo zinatosha kwa miongo kadhaa
Waziri wa ulinzi wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemeni alisema kuwa “Hifadhi ya nchi ya silaha za balistiki na za kimkakati zinatosha kwa vita vya miongo mingi,” Kwa mujibu wa kituo cha Televisheni ya Al-Masira ya Yemen, Jenerali Mohammad Nasser Al-Atefi aliongeza siku ya Jumamosi: “Tunakubaliana na amani ambayo itahakikisha maslahi ya juu…

Wazir wa mambo ya wa Iran: Iran inataka iwe na uhusiano na dunia ulio na uwiyano
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran inataka iwe na uhusiano na dunia ulio na uwiyano na kudumisha sambamba na kupanua uhusiano wake na bara la Ulaya. Hossein Amir-Abdollahian ameyasema hayo leo katika mkutano na waandishi wa habari aliofanya pamoja na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa…

Nchi za Kiarabu zafanya juu chini Syria inarejeshewa uwanachama wake Arab League
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League amesema nchi kadhaa wanachama wa jumuiya hiyo zinafanya juhudi kuhakikisha Syria inarejeshewa uwanachama wake. Mnamo mwaka 2011 na kwa mashinikizo ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Saudi Arabia kufuatia kuanza kwa mgogoro nchini Syria, Arab League ilichukua hatua ya kusimamisha uwanachama wa…