Mashariki ya kati

Safari ya Rais Assad UAE: Syria kurejea tena katika Jumuiya ya Arab League

Safari ya Rais Assad UAE: Syria kurejea tena katika Jumuiya ya Arab League

Rais Bashar al-Assad wa Syria jana aliwasili katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu na kulakiwa rasmi na Rais Mohammed bin Zayed al-Nahyan ikiwa ni ishara ya wazi ya kuhuishwa uhusiano wa Syria na mataifa ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi baada ya zaiidi ya muongo mmoja. Hii ni ziara ya pili ya Rais…

Baada ya mihadarati ya kasumba, Taliban yapiga marufuku ulimaji bangi Afghanistan

Baada ya mihadarati ya kasumba, Taliban yapiga marufuku ulimaji bangi Afghanistan

Baada ya kupigwa marufuku ulimaji wa mipopi, mmea unaozalisha mhadarati wa kasumba, kwa amri ya kiongozi wa Taliban, ulimaji wa mimea ya bangi pia umepigwa marufuku nchini Afghanistan. Serikali ya Taliban imetangaza rasmi kuwa, kwa mujibu wa hukumu ya Mullah Hebatullah Akhundzadeh, kuanzia sasa kilimo cha mmea wa bangi ni marufuku nchini humo, na kwamba ikiwa itashuhudiwa kilimo…

Ujumbe muhimu zaidi wa mazoezi ya pamoja kati ya Iran, Urusi na China

Ujumbe muhimu zaidi wa mazoezi ya pamoja kati ya Iran, Urusi na China

Amir Admiral Shahram Irani, kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza ulazima wa kudhaminiwa usalama katika eneo kwa kusisitiza kuwa, nchi za eneo hili ni katika vyanzo vikubwa zaidi vya mafuta duniani. Amiri wa Iran amemwambia ripota wa kituo cha habari cha Al-Alam kwamba nchi zote za eneo hilo zina…

Wapalestina waanzisha kampeni ya kuusafisha msikiti wa al-Aqsa kuukaribisha mwezi wa Ramadhani

Wapalestina waanzisha kampeni ya kuusafisha msikiti wa al-Aqsa kuukaribisha mwezi wa Ramadhani

Mamia ya Wapalestina wakazi wa mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu wameanzisha kampeni ya kuusafisha Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa sambamba na kukaribia mwandamo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la IranPress, katika kampeni hiyo, mamia ya Wapalestina wanaojitolea na kushughulika na hafla za kitaifa na Kiislamu huko Palestina inayokaliwa…

Mufti wa Oman: Mapatano ya Iran na Saudia yameutia hofu na kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel

Mufti wa Oman: Mapatano ya Iran na Saudia yameutia hofu na kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel

Mufti wa Oman Sheikh Ahmad bin Hamad Al-Khalili amesisitiza haja ya kudumishwa amani na utangamano katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kubainisha kwamba, makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia yameutia hofu na kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Kufuatia mazungumzo ya hivi karibuni kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya…

Safari ya Shamkhani UAE; harakati mpya katika diplomasia ya ujirani mwema

Safari ya Shamkhani UAE; harakati mpya katika diplomasia ya ujirani mwema

Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran Alkhamisi ya jana alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Imarati katika safari yake huko Abu Dhabi na kujadiliana naye kuhusu masuala yanayozihusu pande mbili na matukio muhimu zaidi ya kikanda na kimataifa. Katika mazungumzi hayo, Ali Shamkhani, abaye pia ni mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu…

Mwandani Bora ni Hulka Njema – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Mwandani Bora ni Hulka Njema – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 10, 2023 HOTUBA YA 1: UCHA MUNGU KATIKA URITHI NI KUWATENDEA HAKI MAYATIMA. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na…

Safari ya Netanyahu nchini Ujerumani huku maandamano ya Wazayuni yakiendelea

Safari ya Netanyahu nchini Ujerumani huku maandamano ya Wazayuni yakiendelea

Serikali ya Ujerumani ilitangaza kuwa kansela wa nchi hiyo atakuwa mwenyeji wa waziri mkuu wa Israel katika mkutano wa “chakula cha mchana” mjini Berlin Alhamisi hii. Afisa wa Ujerumani alitangaza mpango wa Waziri Mkuu Olaf Schultz kwa ajili ya mkutano wa pande mbili na Benjamin Netanyahu huko mjini Berlin. Vyanzo vya habari kutoka Berlin, mji…