Mashariki ya kati

Hati 20 za ushirikiano zasainiwa na maafisa wa Iran na China katika safari ya Rais Raisi mjini Beijing

Hati 20 za ushirikiano zasainiwa na maafisa wa Iran na China katika safari ya Rais Raisi mjini Beijing

Hati 20 za ushirikiano zimetiwa saini kati ya maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na China katika hafla iliyohudhuriwa na marais wa nchi hizo mbili. Kwa mujibu wa tovuti ya habari ya ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, hafla ya utiaji saini hati 20 za ushirikiano na…

Taqwa ndio mbinu bora ya kulinda Ubinadamu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Taqwa ndio mbinu bora ya kulinda Ubinadamu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan                                                          …

Assad akosoa undumakuwili wa Magharibi kuhusu hali ya kibinadamu katika Syria iliyokumbwa na zilzala

Assad akosoa undumakuwili wa Magharibi kuhusu hali ya kibinadamu katika Syria iliyokumbwa na zilzala

Rais wa Syria Bashar al-Assad amekosoa misimamo ya kundumakuwili ya nchi za Magharibi katika kukabiliana na wahanga wa mitetemeko mikubwa ya ardhi iliyokumba Syria na Uturuki, akisema mataifa ya Magharibi hayajali hali ya kibinadamu nchini kwake. Assad aliyasema hayo Ijumaa katika hotuba yake wakati alipotembelea maeneo yaliyokumbwa na tetemeko la ardhi. Rais Assad amesema, “Unduakuwili…

Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama yasisitiza kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria

Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama yasisitiza kuondolewa haraka vikwazo dhidi ya Syria

Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama imetoa taarifa ikisisitiza udharura wa kuondolewa haraka iwezekanavyo vikwazo dhidi ya Syria katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo inahitajia misaada kutokana na kukumbwa na janga la tetemeko la ardhi. Taarifa ya Jumuiya ya Maulamaa wa Muqawama imebainisha kwamba, vikwazo vya Marekani dhidi ya Syria ambavyo kimsingi vinakinzana wazi kabisa na hati ya…

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Dunia yawatelekeza wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Dunia yawatelekeza wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria

Mkurugenzi wa Umoja wa Mataifa wa kutoa misaada alikiri kwamba jumuiya ya kimataifa imeshindwa kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Syria. Kabla ya hili, viongozi wa Syria walikuwa wamekosoa misimamo miwili ya nchi za Magharibi na kazi zao za kisiasa kuhusu misaada ya kibinadamu kwa wahanga wa tetemeko la ardhi nchini humo. Rais wa…

Kijana wa Kipalestina auwawa Shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kizayuni mjini Jenin

Kijana wa Kipalestina auwawa Shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa Kizayuni mjini Jenin

Raia huyo wa Palestina aliuawa shahidi kutokana na kukithiri kwa majeraha aliyoyapata katika mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni katika kambi ya Jenin. Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ilitangaza kuwa, raia mmoja wa Palestina aliuawa shahidi wakati wa mashambulizi ya wanajeshi wa Kizayuni katika kambi ya Jenin iliyoko kaskazini…

Idadi ya vifo katika tetemeko la ardhi la Uturuki yafikia 12,873

Idadi ya vifo katika tetemeko la ardhi la Uturuki yafikia 12,873

Makao Makuu ya Usimamizi wa Ajali na Matukio Yasiyotarajiwa ya Uturuki yametangaza Alhamisi hii asubuhi kwamba idadi ya hivi punde ya waliofariki kutokana na tetemeko baya la ardhi nchini humo, imefikia 12,873. Kwa mujibu wa mtandao wa “TRT” wa Uturuki, makao makuu ya usimamizi wa majanga ya Uturuki yametangaza kuwa idadi ya wahanga wa tetemeko…

Mazungumzo ya afisa wa Saudia na mjumbe wa Umoja wa Mataifa kuhusu Yemen

Mazungumzo ya afisa wa Saudia na mjumbe wa Umoja wa Mataifa kuhusu Yemen

Balozi wa Saudi Arabia nchini Yemen alikutana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo na kuzungumza kuhusu kuhitimisha vita vya Yemen. Mohammed bin Saeed Al Jaber, balozi wa Saudi Arabia nchini Yemen amekutana na Hans Grundberg, mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen mjini Riyadh na kuzungumzia kumalizika kwa vita vya Yemen….