Mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon na Bashar Assad
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon ambaye alikwenda Damascus leo akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Rais wa Syria. Abdullah Bouhabib, Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon, amewasili Damascus leo (Jumatano) akiongoza ujumbe wa ngazi za juu. Katika safari hii, alikutana na kuzungumza…
Ujumbe wa hadharani wa Kizayuni mjini Riyadh wa kuunga mkono uhalalishaji !
Youssef Al-Awsi, mmoja wa wanaharakati mashuhuri wa Saudia ameandika kwenye Twitter kwamba ujumbe wa Kizayuni utashiriki rasmi katika kongamano la LEAP23 mjini Riyadh ili kuunga mkono kuhalalisha hali ya kawaida kati ya utawala wa Kizayuni na Saudi Arabia. Tweet ya Al-Awsi ilisema: “Kongamano kubwa la LEAP23 litafanyika Riyadh wiki ijayo, na makampuni ya Israel yatakuwepo…
Mpango wa utawala wa Saudia wa kuunda makundi mengi ya wanamgambo kusini mwa Yemen
Idadi ya wanamgambo katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na UAE na Saudi Arabia nchini Yemen inazidi kuongezeka. Kundi linalojulikana kwa jina la “Baraza la Rais wa Yemen” limetangaza kuunda vikosi vipya kwa jina la “Homeland Shield Forces”, ambavyo vinajumuisha vikundi vya Kisalafi chini ya uungwaji mkono wa kifedha na kisiasa wa Riyadh, na kiongozi wake…
Kadkhodaei: Operesheni ya kumsaka Pompeo na Trump itaendelea hadi haki ipatikane
Mjumbe wa Baraza la Walinzi wa Katiba nchini Iran ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba mchakato wa kuwafuatilia rais na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani unaendelea kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya maafisa wa Iran na Iraq. Mike Pompeo, waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, amekiri…
Iran yazima mashambulio ya droni katika mkoa wa Isfahan
Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Kiislamu vimefanikiwa kuzima mashambulio ya ndege siziso na rubani (drone) dhidi ya kituo cha kijeshi katika mji wa Isfahan, katikati mwa nchi. Taarifa iliyotolewa leo Jumapili na Wizara ya Ulinzi ya Iran imeeleza kuwa, moja ya droni hizo (MAVs) ilishushwa chini na mfumo wa ulinzi…
Kuendelea ukandamizaji wa Aal Khalifa dhidi ya wafungwa wa kisiasa katika kukaribia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi
Katika kukaribia maadhimisho ya kutimia mwaka wa 12 wa mapambano ya wananchi wa Bahrain, utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain unawazuia wafungwa wa kisiasa nchini humo kuwasiliana na kuoana na familia zao katika fremu ya sera zake za ukandamizaji na kuwawekea mbinyo na vizingiti mbalimbali wafungwa wa kisiasa na wapinzani nchini humo. Mwaka…
Netanyahu akiri: Tumeshuhudia shambulio baya zaidi katika miaka ya hivi karibuni
Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba oparesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyofanywa na kijana wa Kipalestina katika eneo la Quds inayokaliwa kwa mabavu ni shambulio baya zaidi dhidi ya utwala huo katika miaka ya hivi karibuni. Ijumaa iliyopita kijana wa Kipalestina aliyejulikana kwa jina la “Khairi Alqam, 21, aliwashambulia Wazayuni katika kitongoji cha…
Indhari ya UN: Njaa inatishia maisha ya mamilioni ya Wasyria
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetahadharisha kuhusu hatari inayotishia maisha ya mamilioni ya wananchi wa Syria kutokana na ukosefu wa chakula na njaa. Tokea mwaka 2011 hadi sasa Syria imeathiriwa na mgogoro wa mchafuko na ukosefu wa amani uliosababishwa na hujuma ya makundi ya kigaidi yanayofadhiliwa na kusaidiwa kwa hali…