Wanamuqawama watekeleza oparesheni 57 dhidi ya Wazayuni katika saa 24 zilizopita
Chombo kimoja cha Kizayuni kimetangaza kuwa makundi ya muqawama ya Palestina yametekeleza oparesheni 57 dhidi ya Israel katika saa 24 zilizopita. Kabla ya hapo Wapalestina walikuwa wakipambana na Wazayuni huko kusini mwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na katika Ukanda wa Ghaza, lakini hivi sasa eneo la Ukingo wa Magharibi huko mashariki mwa Palestina limeguzwa na…
Ufalme Bahrain wazuia maandamani ya kulaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu
Kundi kuu la upinzani nchini Bahrain, Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, limelaani utawala unaotawala wa kifalme wa ukoo wa Al Khalifa kwa kuwazuia Waislamu kufanya maandamano ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur’ani barani Ulaya. Siku ya Ijumaa, vikosi vya usalama vya Bahrain viliwakamata makumi ya raia waliokuwa wakienda kufanya maandamano hayo. Pia walifunga njia…
Yemen: Jinai za Israel huko Jenin ni ishara ya kushindwa mpango wa mapatano
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen imetangaza kuwa, jinai za utawala haramu wa Israel katika mji wa Jenin ni ishara ya wazi ya kugonga mwamba juhudi na mipango ya utawala huo katili ya kupenya katika mataifa ya Kiislamu kupitia tawala zilizofanya usaliti. Taarifa ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Yemen mbali na kulaani jinai…
Jihadul-Islami: Misimamo ya Uturuki na UAE kuhusu operesheni ya Quds ni usaliti kwa Palestina
Mkuu wa ofisi ya habari ya harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina amesema, misimamo ya Uturuki na Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kulaani operesheni ya kujitolea kufa shahidi iliyotekelezwa katika mji wa Baitul Muqaddas unaokaliwa kwa mabavu ni usaliti kwa watu wa Palestina. Wizara za mambo ya nje za Uturuki na Imarati (UAE) zimetoa…
Wapalestina wapongeza operesheni ya al-Quds, wasema ni kulipiza kisasi kwa mauaji ya Jenin
Makundi ya muqawama na mapambano ya ukombozi wa Palestina yamepongeza operesheni ya kulipiza kisasi karibu na sinagogi katika makazi haramu ya walowezi wa Kizayuni kwenye eneo la al- Quds (Jerusalem) Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na Israel, na kueleza kuwa oparesheni hiyo ni ‘jibu la moja kwa moja’ kwa uvamizi mbaya zaidi wa kijeshi wa Israel…
Licha ya njama, Qur’ani Tukufu inazidi kung’aa kila siku na mustakabali ni wa Uislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza kuwa: “Kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu kiwendawazimu chini ya nara ya ‘uhuru wa maoni’ ni ishara kuwa uistikbari unalenga Uislamu na Qur’ani Tukufu.” Kwa mujibu wa tovuti taarifa katika akaunti ya Twitter khamenei.ir, Kiongozi Muadhamu wa…
Taasisi za haki za binadamu zaidi ya 170 zataka kuhitimishwa maafa ya binadamu Yemen
Mashirika na taasisi za haki za binadamu za kimataifa zaidi ya 170 zimetaka kuhitimishwa maafa ya binadamu huko Yemen na mzingiro dhidi ya nchi hiyo. Kwa uungaji mkono wa Marekani, Muungano wa Falme za Kiarabu na nchi nyingine kadhaa, Saudi Arabia iliivamia kijeshi Yemen mwezi Machi 2015 na kuiwekea nchi hiyo vikwazo vya nchi kavu, baharini…
Onyo la Herzog la kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya utawala wa Kizayuni
Mizozo na migogoro imeongezeka ndani ya utawala wa Kizayuni kiasi kwamba, rais wa utawala huo pandikizi, Isaac Herzog ametishia tena kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe na hali ya Israel kuripuka kutokana na mizozo ya kisiasa na mifarakano shadidi katika jamii ya utawala wa Kizayuni. Baraza jipya la mawaziri la Benjamin Netanyahu ambalo ni baraza…