Mashariki ya kati

Israel yaufyata baada ya onyo la Russia, yakataa ombi la US la kuipa Ukraine makombora

Israel yaufyata baada ya onyo la Russia, yakataa ombi la US la kuipa Ukraine makombora

Utawala haramu wa Israel umepinga ombi la Marekani la kuutaka uipe Ukraine makombora na silaha nyinginezo, baada ya Russia kuonya vikali dhidi ya kupewa Kiev misaada ya kijeshi na zana za vita. Tovuti ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, duru za habari zimenukuliwa na shirika la habari la Axio zikisema kuwa, Israel…

Siku ya umwagaji damu katika kambi ya Jenin; kilele cha misimamo mikali ya baraza la mawaziri la Netanyahu

Siku ya umwagaji damu katika kambi ya Jenin; kilele cha misimamo mikali ya baraza la mawaziri la Netanyahu

Ikiwa ni katika kuendeleza ugaidi na jinai dhidi ya Wapalestina wasio na hatia, Alkhamisi asubuhi, baraza la mawaziri lenye misimamo mikali ya kupindukia mipaka la utawala wa Kizayuni lilitekeleza jinai nyingine ya kutisha dhidi ya Wapalestina wanaoishi katika kambi ya wakimbizi huko Jenin. Jana asubuhi, askari wa utawala wa Kizayuni huku wakisaidiwa moja kwa moja…

Iran na Tanzania zahimiza ushirikiano zaidi baina yao hasa katika uwekezaji viwandani

Iran na Tanzania zahimiza ushirikiano zaidi baina yao hasa katika uwekezaji viwandani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tuko tayari kutoa ujuzi na uzoefu wetu, hasa katika nyanja za elimu, kilimo, uvuvi, ujenzi wa mabwawa, usimamizi wa vyanzo vya maji na kilimo umwagiliaji, ili kuisaidia Tanzania katika juhudi zake za mapinduzi ya viwanda. Kwa mujibu wa shirika la habari la Fars, Hossein Amir-Abdollahian na “Stergomena Lawrence…

Ansarullah: Uhalifu wa Wazayuni mjini Jenin ni nukta ya aibu kwa kutaka kuhalalisha mahusiano

Ansarullah: Uhalifu wa Wazayuni mjini Jenin ni nukta ya aibu kwa kutaka kuhalalisha mahusiano

Ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imesisitiza kuwa, mauaji ya Wapalestina yaliyotekelezwa  na adui Mzayuni huko mjini Jenin ni chanzo cha aibu kwa tawala ambazo zimegeukia kuhalalisha uhusiano na utawala huo ghasibu, kwa sababu kwa kupiga hatua katika swala la kuhalalisha inampa nguvu adui Mzayuni na kumhimiza kuwakalia kwa mabavu na kuendeleza…

Mashambulizi ya anga ya utawala wa Israel dhidi ya Gaza/majibu ya roketi ya upinzani kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu/majibu ya ulinzi wa muqawama dhidi ya mashambulizi ya Wazayuni

Mashambulizi ya anga ya utawala wa Israel dhidi ya Gaza/majibu ya roketi ya upinzani kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu/majibu ya ulinzi wa muqawama dhidi ya mashambulizi ya Wazayuni

Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimelenga moja ya makao makuu ya muqawama wa Palestina katikati mwa Ukanda wa Gaza leo hii asubuhi (Ijumaa). Shambulio hilo la anga la utawala wa Kizayuni lilifanyika kufuatia shambulio la roketi la mapema asubuhi la makundi ya muqawama wa Palestina katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni karibu na…

Raisi: Uhusiano wa Iran na Syria umejengeka katika misingi ya muqawama

Raisi: Uhusiano wa Iran na Syria umejengeka katika misingi ya muqawama

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Syria ni thabiti na kwamba umejengwa katika misingi ya moyo wa muqawama na mapambano ya wananchi wa mataifa haya mawili. Sayyid Ebrahim Raisi alisema hayo jana Jumanne hapa Tehran katika mazungumzo yake na Ali Mahmoud Abbas, Waziri wa Ulinzi wa Syria na kusisitiza kuwa, Tehran…

Mashirika ya kimataifa yatiwa wasiwasi na mgogoro wa chakula barani Asia

Mashirika ya kimataifa yatiwa wasiwasi na mgogoro wa chakula barani Asia

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na taasisi nyingine za Umoja wa Mataifa zimeripoti kuwa, idadi kubwa ya wakazi wa bara Asia hawana chakula cha kutosha kufautai kuongezeka ukosefu wa usalama wa chakula uliosababishwa na kupanda kwa bei na kuongezeka umaskini katika jamii. Russia na Ukraine zina nafasi athirifu na muhimu…

Mwanazuoni wa Qur’ani Mauritania Mohamed Mokhtar Ould Abah afariki dunia

Mwanazuoni wa Qur’ani Mauritania Mohamed Mokhtar Ould Abah afariki dunia

Mwanazuoni wa ngazi za juu Mauritania ambaye amenadika tarjuma ya Qur’ani Tukufu Mohamed Mokhtar Ould Abah amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Msomi huyo, ambaye ametarjumu Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kifaransa, aliaga dunia Januari 22. Alizaliwa mwaka wa 1924 katika jimbo la Boutilimit la Mauritania na alihifadhi Qur’ani Tukufu akiwa kijana kisha…