ICJ yapokea rasmi ombi la UN juu ya kughusubiwa ardhi za Wapalestina na Israel
Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imepokea rasmi ombi la Umoja wa Mataifa la kutaka maoni ya ushauri kutoka kwa chombo hicho juu ya taathira za Israel kughusubu na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina. ICJ inatazamiwa kuandaa orodha ya mataifa na mashirika ambayo yatawasilisha taarifa za maandishi kwenye mahakama hiyo iliyoko mjini Hague nchini…
Kiwewe cha nchi za Ulaya kwa nafasi ya kudhamini usalama ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema katika mazungumzo ya simu aliyofanya na mwenzake wa Uswisi Tobias Billström kwamba, nchi za Ulaya zina deni la malipo ya shukrani kwa juhudi kubwa za Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kupambana na ugaidi na akabainisha kwamba: Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya…
Hizbullah yajiunga na nchi za Kiislamu kulaani kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu huko Sweden
Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imejiunga nan chi za Kiislamu duniani kulaani kitendo cha hivi punde zaidi cha kuvunjiwa heshima Qur’ani nchini Sweden (Uswidi), na kusisitiza kuwa kuudhi matukufu ya Umma wa Kiislamu ni jambo lisilokubalika. Rasmus Paludan kinara wa chama cha mrengo wa kulia kwa jina la “Stram Kurs” au ‘Msimamo Mkali’ jana alichoma…
Wajordan wakusanyika mbele ya ubalozi wa Israel kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa
Makumi ya wananchi wa Jordan wamekusanyika mbele ya ubalozi wa utawala haramu wa Israel mjini Amman ambapo sambamba na kuulaani jinai za utawala haramu wa Israel wametangaza himaya na uungaji mkono wao kwa msikiti wa al-Aqswa. Waandamanaji hao wakiwemo wajumbe wa vyama mbalimbali vya siasa na wanaharakati wa asasi na jumuiya mbalimbali za kiraia wamesisitiza…
Maelfu waandamana tena dhidi ya serikali yenye misimamo mikali ya Netanyahu
Kwa mara nyingine, makumi ya maelfu ya wakazi wa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina na kupachikwa jina la Israel wameandamana dhidi ya serikali yenye misimamo ya kuchupa mipaka ya Benjamin Netanyahu. Maandamano ya jana Jumamosi yanahesabiwa kuwa makubwa zaidi kuwahi kufanyika mjini Tel Aviv, tangu baada ya Netanyahu kurejea madarakani mwezi uliopita kuongoza baraza…
Kufutwa kazi Waziri wa Mambo ya Ndani katika baraza la mawaziri la Netanyahu
Licha ya Mahakama Kuu ya utawala wa Kizayuni kubatilisha uamuzi wa Aryeh Deri kuwa Waziri wa Afya na wa Masuala ya Ndani wa utawala huo kutokana na rekodi yake mbaya ya uhalifu; vyombo vya habari vya utawala wa Israel vimetangaza kuwa Benjamin Netanyahu amemuuzulu waziri huo. Baraza jipya la Mawaziri la Benjamin Netanyahu tayari limeanza…
Sana’a: Uingereza sababu kuu ya uvamizi Yemen
Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameeleza kuwa, Uingereza si tu haiwezi kusaidia kupunguza mateso na masaibu ya kiuchumi ya wananchi wa Yemen bali nchi hiyo ni sehemu kuu ya njama ya kuvamiwa nchi hiyo. James Kariuki mwanadiplomasia wa serikali ya Uingereza ambaye ni Naibu Balozi wa Kudumu wa nchi hiyo…
Je, Mwanamfalme wa Saudia anaogopa nini kutangaza hadharani uhalalishaji wa mahusiano na Wazayuni?
Baraza la mawaziri la Netanyahu liko mbioni kutangaza kuhalalisha mahusiano yake na Saudi Arabia, lakini Riyadh hadi sasa imeshughulikia suala hili kwa fimbo. Kwa kuundwa baraza la mawaziri la Netanyahu, inaonekana utawala wa Kizayuni uko mbioni kuharakisha kwa uwazi kuurejesha uhusiano na Riyadh baada ya maendeleo makubwa ya uhalalishaji usio rasmi na Wasaudi hususan kuwepo…