Mashariki ya kati

Kambi ya jeshi ya Marekani yashambuliwa kwa droni nchini Syria

Kambi ya jeshi ya Marekani yashambuliwa kwa droni nchini Syria

Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani (CENTCOM) imekiri kuwa, moja ya kambi za kistratejia za nchi hiyo huko kusini mwa Syria imeshambuliwa kwa ndege zisizo na rubani (droni). Taarifa ya jana Ijumaa ya CENTCOM imesema kambi hiyo ya kijeshi ya Marekani imeshambuliwa kwa droni katika eneo la al-Tanf, kusini mwa Syria, karibu na mipaka ya Iraq na…

Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon afariki dunia ghafla kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri

Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon afariki dunia ghafla kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri

Waziri wa Mambo ya Nje wa Gabon, Michael Moussa Adamo, amefariki dunia ghafla kwa mshtuko wa moyo wakati wa kikao cha Baraza la Mawaziri. Taarifa rasmi ya serikali ya Gabon imethibitisha habari hiyo ya kufariki dunia Michael Moussa Adamo ambaye alikuwa mtu wa karibu na mshirika wa muda mrefu wa Rais Ali Bongo, hata kabla ya…

Russia: Kuna ushahidi kwamba Marekani inawafadhili kwa siri magaidi wa Daesh nchini Afghanistan

Russia: Kuna ushahidi kwamba Marekani inawafadhili kwa siri magaidi wa Daesh nchini Afghanistan

Mwanadiplomasia mwandamizi wa Russia na mjumbe wa rais Vladimir Putin nchini Afghanistan anasema kuna ushahidi kuwa Marekani inajaribu kufadhili kwa siri kundi la kigaidi la Daesh nchini humo ili kudhoofisha utawala wa sasa wa kisiasa wa Taliban. Zamir Kabulov alisema siku ya Ijumaa kuwa Washington inataka kulipiza kisasi kwa kushindwa kwake kwa njia ya fedheha…

Kuongezeka juhudi za wapatanishi kwa ajili ya kusitisha vita Yemen

Kuongezeka juhudi za wapatanishi kwa ajili ya kusitisha vita Yemen

Juhudi za pande za kigeni kwa ajili ya kufanikisha usitishaji vita huko Yemen zimeongezeka sambamba na kuanza mwaka huu mpya wa Miladia. Tarehe 21 mwezi Disemba mwaka jana Msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen alidokeza kuhusu kuwasili nchini humo ujumbe wa Oman kwa lengo la kuwasilisha mapendekezo mapya kuhusu usitishaji vita nchini humo. Ujumbe wa…

Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqsa katika muendelezo wa uchochezi

Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqsa katika muendelezo wa uchochezi

Makumi ya walowezi Waisraeli wamevamia eneo la Msikiti wa al-Aqsa huko Quds (Jerusalem) Mashariki inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel, katika hatua nyingine ya uchochezi dhidi ya waumini Waislamu wa Kipalestina. Walioshuhudia wanasema kwamba uvamizi wa walowezi hao  wenye itikadi kali ulifanyika chini ya ulinzi mkali kutoka kwa wanajeshi wa utawala ghasibu wa…

Wapalestina 75,000 washiriki katika Sala ya Ijumaa kwenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu

Wapalestina 75,000 washiriki katika Sala ya Ijumaa kwenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu

Makumi ya maelfu ya Waislamu wa Palestina jana walishiriki katika ibada ya Sala ya Ijumaa kwenye Kibla cha Kwanza cha Waislamu yaani Msikiti wa al Aqsa, licha ya vikwazo vingi vya utawala wa Kizayuni. Hayo yameripotiwa na Shirika la Habari la Tasnim ambalo limezinukuu duru za Palestina zikitangaza kuwa, Sala ya Ijumaa ya jana katika Msikiti…

Umoja wa Ulaya washadidisha uingiliaji katika masuala ya ndani ya Iran

Umoja wa Ulaya washadidisha uingiliaji katika masuala ya ndani ya Iran

Katika muendelezo wa uingiliaji wa Umoja wa Ulaya katika masuala ya ndani ya Iran, Bunge la Ulaya linatafakari na kujadili suala la kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) katika kile kinachoitwa orodha ya mashirika ya kigaidi. Katika kikao cha Bunge la Ulaya siku ya Jumanne wiki hii kuhusiana na machafuko ya…

WHO: Vituo 97 vya huduma za afya na tiba vimesita kufanya kazi nchini Afghanistan

WHO: Vituo 97 vya huduma za afya na tiba vimesita kufanya kazi nchini Afghanistan

Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema katika ripoti yake mpya kuwa vituo 97 vya afya na tiba vimesitisha sehemu ya shughuli zao au vimeacha kikamilifu kutoa huduma nchini Afghanistan. Kwa sasa Afghanistan inakabiliwa na hali mbaya ya kibinadamu, kiafya, kiuchumi na ya uhaba mkubwa wa chakula uliosababishwa na kukaliwa kwa mabavu nchi hiyo kwa miaka…