Mashariki ya kati

Maoni juu ya shambulio la bomu katika kanisa la Gaza

Maoni juu ya shambulio la bomu katika kanisa la Gaza

Kanisa la Kiorthodoksi la Roma mjini Jerusalem lilitangaza kuwa “tunalaani vikali hatua ya utawala wa Kizayuni kulipua kanisa letu mjini Gaza”. Kanisa la Kiorthodoksi la Kirumi huko Jerusalem, katika kukabiliana na shambulio la bomu la kanisa hili, lilitangaza kwamba kulipuliwa kwa makanisa na taasisi zinazohusiana, ambayo yamekuwa makazi ya watu wasio na makazi wa Gaza,…

Kwa nini Hamas walishambulia huku wakijua wazi kwamba Israeli watalipiza kisasi?

Kwa nini Hamas walishambulia huku wakijua wazi kwamba Israeli watalipiza kisasi?

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan October 13, 2023   Khutba ya 1: Aidha uwe pamoja na wanaodhulumiwa au uko pamoja na madhalimu Ukifanya jambo zuri hapa, utapata faida ya hilo wewe mwenyewe, na vivyo…

Mashambulizi ya Gaza hayabadili ramani ya Mashariki ya Kati; Upinzani ungali unavizia

Mashambulizi ya Gaza hayabadili ramani ya Mashariki ya Kati; Upinzani ungali unavizia

Siku ya Jumatano, Marekani ilipinga mswada wa azimio la Baraza la Usalama la kuanzisha usitishaji vita wa kibinadamu huko Gaza. Madhumuni ya azimio hili yalikuwa ni kuhakikisha kuwasili kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza baada ya siku 11 za kuzingirwa kamili na kukata maji, umeme na dawa. Uchambuzi wa Habari; Zhang Jun, mwakilishi wa kudumu…

Siku ya kumi na moja ya operesheni ya ” Wimbi la Al-Aqsa”. Utawala wa Kizayuni uliendelea kuivamia Ghaza huku idadi ya mashahidi ikiongezeka na kufikia 2,808. Baraza la Usalama halikupigia kura azimio lililopendekezwa na Russia la usimamishaji wa vita huko Gaza.

Katika siku ya kumi na moja ya operesheni ya kimbunga ya Al-Aqsa, utawala wa Kizayuni unaendelea kufanya jinai nyingi zaidi dhidi ya raia wa Ghaza. Na hadi sasa, imeua shahidi zaidi ya raia 2,800 wa Palestina, 64% miongoni mwao wakiwa wanawake na watoto. Wakati huo huo muqawama wa Palestina unaendelea kuishambulia Tel Aviv kwa maroketi…

Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak

Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak

Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la Iran Press, Joshua Gatimu, Balozi wa Kenya nchini Iran alizitembelea kampuni hizo za uzalishaji yakiwemo mashirika ya kuzalisha dawa jijini Arak…

Mwanadiplomasia wa Irani: Iran na Uchina kama mataifa mawili makubwa ya Asia yana azimia kua na ushirikiano wa muda mrefu

Mwanadiplomasia wa Irani: Iran na Uchina kama mataifa mawili makubwa ya Asia yana azimia kua na ushirikiano wa muda mrefu

Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini China amesema kuwa, Iran na China zina mabadilishano na ushirikiano wa muda mrefu ambapo mataifa yote haya mawili yanajulikana kua na ustaarabu wa hali ya juu katika tamaduni zao  kwa maelfu ya miaka. Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Fars, balozi wa…

UN yataka utawala wa Taliban Afghanistan uheshimu sheria za kimataifa

UN yataka utawala wa Taliban Afghanistan uheshimu sheria za kimataifa

Ikiwa Agosti 15 2023 ni miaka miwili tangu kundi la Taliban lilipotwaa mamlaka nchini Afghanistan, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Volker Türk amewakumbusha wakuu wa Taliban kwamba Afghanistan, kama Taifa, lina wajibu chini ya sheria za kimataifa kuheshimu, kudumisha na kukuza haki za watu wote bila ubaguzi. Taarifa iliyotolewa na…

Je, shambulio la lori la Hizbollah ya Lebanon lilifanyika katika mazingira gani?

Je, shambulio la lori la Hizbollah ya Lebanon lilifanyika katika mazingira gani?

Baada ya kupinduliwa kwa lori la muqawama katika mkoa wa Kahaleh na kuuawa shahidi mmoja wa vikosi vya usalama vya Hizbullah aitwaye Ahmad Qassas, uchochezi mpya umeanzishwa nchini Lebanon na wale wanaochukua hatua dhidi ya upinzani na Hezbollah. Dk. Wasim Bezi, ambaye ni mtaalamu wa masuala ya kisiasa, alisema: “Kudhalilishwa kwa shahidi Ahmad Qass ni…