Kuukaribisha mwezi wa Ramadhani; 3
Hujjatul Islam wa Muslimeen Syed Jawad Naqvi Mudiir Jamiatul Wuthqah Masjid Baitul Ateeq Lahore, Pakistan بسم الله الرحمن الرحیم شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ Kuwa Mja wa Mwenyezi Mungu, Usiwe Mja wa Funga. Mwezi wa Shaaban ni mwezi wa Mtume wa Mwenyezi Mungu katika siku zake za mwisho,…

Kuukaribisha mwezi wa Ramadhani (Khutba ya pili)
Hujjatul Islam wal muslimin Syed Jawad Naqvi Mudir Jamiatul Wuthqah Masjid Baitul Ateeq Lahore, Pakistan بسم الله الرحمن الرحیم شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur’ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi…..(2:185) Mtukufu Mtume, Mwenyezi Mungu…

Kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani/aina za rehema za Mwenyezi Mungu/nani anaweza kufikia kina cha ibada?
(2:185 )رُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِّلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِّنَ الْهُدَىٰ وَالْفُرْقَانِ Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur’ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi…..(2:185) Kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani Baada ya siku chache zijazo, mwezi mtukufu wa Ramadhani utafika na waumini wanajitayarisha kuukaribisha mwezi huu. Miaka…

MATARAJIO YA KIMUNGU NA MATARAJIO YA MABABU ZETU
Hujjatul Islam wal Muslimiin Ustadh Syed Jawad Naqvi Mudir Jamiatul Wuthqah Lahore Pakistan Kumngoja Imamu maana yake ni kusubiri utawala wa Uimamu na kudhihiri dini na kutawala kwa dini na utawala wa uadilifu, utawala wa Uislamu. Katika kungoja huku, kungoja kwa mngojaji na mtarajiwa wote wana majukumu tofauti. Katika kungoja huku, mtu anayengoja hakai kimya…

Je, waliohai wanapaswa kumfanyia nini marehemu?
Njia bora ya kukubalika Dua ni mtu kumswalia Mtume Muhammad na familia yake mwanzoni na mwisho wa Dua. Ukifunga maombi katika bahasha ya baraka na kuipeleka kwa Mungu, hakika Mungu ataikubali. ﴿إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَالَّذِينَ هَادُوا وَالنَّصَارَىٰ وَالصَّابِئِينَ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَعَمِلَ صَالِحًا فَلَهُمْ أَجْرُهُمْ عِندَ رَبِّهِمْ وَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ﴾…

KHUTBA YA TATU KATIKA MUNASABA WA SHAHADA YA HADHRAT ZAHRA(SA), SYED JAWAD NAQVI
فقالت فاطمۃ الزہرا سیدۃ نساء العالمین علیہا السلام فَجَعَلَ اللهُ الإيمانَ تَطْهيراً لَكُمْ مِنَ الشِّرْكِ، وَالصَّلاةَ تَنْزِيهاً لَكُمْ عَنِ الكِبْرِ، والزَّكاةَ تَزْكِيَةً لِلنَّفْسِ وَنَماءً في الرِّزْق، والصِّيامَ تَثْبيتاً للإِخْلاصِ، والحَجَّ تَشْييداً لِلدّينِ، وَالعَدْلَ تَنْسيقاً لِلْقُلوبِ، وَطاعَتَنا نِظاماً لِلْمِلَّةِ، وَإمامَتَنا أماناً مِنَ الْفُرْقَةِ، وَالْجِهادَ عِزاً لِلإْسْلامِ، وَالصَّبْرَ مَعُونَةً عَلَى اسْتِيجابِ الأْجْرِ، وَالأْمْرَ بِالْمَعْرُوفِ مَصْلَحَةً لِلْعامَّةِ، وَبِرَّ…

KHUTBA YA PILI KATIKA MUNASABA WA SHAHADA YA HADHRAT ZAHRA(SA)
KHUTBA YA PILI KATIKA MUNASABA WA SHAHADA YA HADHRAT ZAHRA(SA) HUJJATUL ISLAM WA MUSLIMEEN SYED JAWAD NAQVI MUDIRI WA JAMIATUL WUTHQA MASJID BAITUL ATEEQ LAHORE, PAKISTAN. فقالت فاطمۃ الزہرا سیدۃ نساء العالمین علیہا السلام فَجَعَلَ اللهُ الإيمانَ تَطْهيراً لَكُمْ مِنَ الشِّرْكِ، وَالصَّلاةَ تَنْزِيهاً لَكُمْ عَنِ الكِبْرِ، والزَّكاةَ تَزْكِيَةً لِلنَّفْسِ وَنَماءً في الرِّزْق، والصِّيامَ تَثْبيتاً للإِخْلاصِ،…