Minasaba za Kiislamu

Rais wa Iran: Bibi Fatima SA ni kigezo na shakhsia mashuhuri mpenda mageuzi

Rais wa Iran: Bibi Fatima SA ni kigezo na shakhsia mashuhuri mpenda mageuzi

Rais wa Iran amemtaja Bibi Fatimatu-Zahra SA, binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW kama kigezo cha mwanadamu na shakhsia mashuhuri aliyeleta mageuzi katika historia ya jamii ya wanaadamu. Rais Ebrahim Raisi amesema hayo leo katika maziko ya mashahidi 200 wa Kiirani ambao utambulisho wao haujulikani, yaliyofanyika sambamba na kumbukuku ya siku ya kufa shahidi…

Subira sio jambo la mtu binafsi bali ni la kijamii – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Subira sio jambo la mtu binafsi bali ni la kijamii – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

        Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan Desemba 23rd, 2022 Hotuba ya 1: Subira sio jambo la mtu binafsi bali ni la kijamii Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha…

Lau milima pia ingempenda Ali ingelivunjika vipande vipande –  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Lau milima pia ingempenda Ali ingelivunjika vipande vipande – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

                                                                          Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul…

Riba ni mfumo wa maisha wa kikafiri –  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Riba ni mfumo wa maisha wa kikafiri –  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

   Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan Desemba 9, 2022   Hotuba ya 1: Riba ni mfumo wa maisha wa kikafiri unaowafikisha Jehanamu Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…

Al-Hashd al-Shaabi: Sisi sote ni Qassem Soleimani/ Tunatangaza mwanzo wa msimu wa enzi na kifo cha kishahidi.

Al-Hashd al-Shaabi: Sisi sote ni Qassem Soleimani/ Tunatangaza mwanzo wa msimu wa enzi na kifo cha kishahidi.

Katika kuadhimisha mwaka wa tano wa ushindi dhidi ya ISIS, mkuu wa Jumuiya ya Uhamasishaji Maarufu ya Iraq alisisitiza kwamba maadui wanafanya njama za siri na akasema kwamba sisi sote tunailinda nchi ya Abu Mahdi Al-Muhandis na Qassem Soleimani. “Faleh Al-Fayaz”, mkuu wa Shirika la Uhamasishaji Maarufu la Iraq, amesema leo (Jumapili, Desemba 11) kwa…

Palestina; Bingwa wa mapema wa kombe la dunia la kandanda

Palestina; Bingwa wa mapema wa kombe la dunia la kandanda

Vyombo vya habari vya Qatar vimeitaja Palestina kuwa “mshindi wa mapema” wa Kombe la Dunia. Palestina; “ingawaje Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar bado linaendelea, lakini tayari mshindi wa mapema ashapatikana” . Nchi hii imeiba mioyo na akili za mashabiki wa kandanda duniani.” Haya ni maelezo ya Dima Khatib, mkurugenzi mtendaji wa Al Jazeera…

Wasomi wanaoamiliana na  Taaghut hawawezi kamwe kusimamisha utawala wa Kimungu

Wasomi wanaoamiliana na Taaghut hawawezi kamwe kusimamisha utawala wa Kimungu

   Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan 2nd Dec. 2022   Hotuba ya 1: Imani iliyofichika husababisha utakasifu, subira na Taqwa (uchamungu) Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Mtu anayeafikiana na kila jambo hawezi kufuata amri za Mwenyezi Mungu

Mtu anayeafikiana na kila jambo hawezi kufuata amri za Mwenyezi Mungu

   Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan 25th Nov. 2022   Hotuba ya 1: Tofauti kati ya Hifazat, Hisn, Taqwa na Ismat Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…