
Hotuba ya Ijumaa – 7th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Uhusiano uliopo baina ya mwanadamu na matendo yake – Taqwa katika mikataba Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…

Hotuba ya Ijumaa – 30th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Kosa la Mujtahid katika kukadiria riba Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu. Tambueni kuwa ucha…

Hotuba ya Ijumaa – 23rd September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Riba huharibu maisha ya kiuchumi ya jamii Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu. Tambueni kuwa…

Seyyed Moqtadi al-Sadr: Maadhimisho ya Arbaeen yaharibu utamaduni wa maadui wa Ahlul-Bayt (a.s)
Akizungumzia nafasi ya maadhimisho ya Arbaeen katika kuwakasirisha maadui wa Uislamu, kiongozi wa harakati ya Sadr alisema kuwa katika maadhimisho haya utamaduni uliokuwa dhidi ya Ahlul Bayt uliharibiwa. Seyyed Moqtada al-Sadr amevishukuru vikosi vya usalama na maandamano ya Hosseini kwa kufanikisha safari ya Arbaeen Jumamosi hii. Al-Sadr alichapisha ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter na…

Jimbo la Karbala: Mahujaji kutoka nchi zaidi ya 80 wameshiriki katika Ziara ya Arbaeen mwaka huu
Msemaji wa Harakati ya Kitaifa ya Hikmat alifafanua kuwa lau isingekuwa ni swala la kuangaziwa moja kwa moja kuhusu ziara tukufu ya Arbaeen na mihemko ya mahujaji na wahudumu wao, wapotoshaji wasioufiki imani hii wangesema kuwa ni uzushi. Harakati ya hekima ya kitaifa ya Iraq imesisitiza kuwa, lau maadhimisho ya Arbaien ya Imam Hussein (AS)…

Hotuba ya Ijumaa – 9th September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Sa’adat – Maana yake na balaa lake Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu. Tambueni kuwa…

Hotuba ya Ijumaa – 2nd September 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Kitendo cha mama kunyonyesha mtoto ni sehemu ya ucha Mungu. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu….

Hotuba ya Ijumaa – 19th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan HOTUBA ya 1: Talaka ni sehemu ya Ucha Mungu Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya Uchaji Mungu. Tambueni kuwa ucha…