
Hotuba ya Ijumaa – 12th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 12th August 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: UCHAJI MUNGU KIVITENDO HUPATIKANA KATIKA NIDHAMU YA NDOA Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…

Hotuba ya Ijumaa – 05th August 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 05th August 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Azadari (Maombolezi) ni muendelezo wa mwamko wa Ummah kutoka kwa Imam Husein (a) Muharram, Ashura ni baraka maalum ambayo ni kama mwongozo…

Waislamu kote duniani waomboleza siku ya Ashura
Waislamu kote duniani jana na leo wameungana na mamilioni ya wafuasi wengine wa Ahlul-Baiti (as) duniani kote katika kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume SAW, Imam Hussein AS. Waombolezaji wa Kiislamu, leo wanashiriki kwenye majlisi za maombolezo kukumbuka ushujaa na dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala, miaka 1383 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria. Matabaka…

Kiongozi Muadhamu ashiriki katika maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS
Usiku wa kuamkia leo umesadifiana na usiku wa mwezi tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ambayo ni maarufu kwa jina la Tasua ya Imam Husain AS. Maombolezo ya usiku wa kuamkia leo yamefanyika katika kona zote za Iran na nje ya Iran ikiwemo Husainia ya Imam Khomeini MA mjini Tehran na kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa…

Kongamano la Dunia la ‘Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)’ limefanyika leo
Mjumuiko maalumu wa ‘Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)’ umefanyika leo sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram katika maeneo 7,500 nchini Iran na katika nchi zingine 45 duniani. Kila mwaka na katika Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram, kwa mnasaba wa kukumbuka alivyouawa shahidi kikatili Ali Asghar, mtoto mchanga wa miezi…

Hotuba ya Ijumaa – 29 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 29 Julai 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Khutba ya 1: Msingi wa kila tendo la kidini ni Taqwa Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…

Raisi: Kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) kunathibitisha umuhimu mkubwa wa kuamrisha mema na kukataza maovu katika dini ya Uislamu
Rais Ebrahim Raisi amesema, kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) ni ithibati kwamba kuamrisha mema na kukataza maovu kuna umuhimu mkubwa katika dini ya Uislamu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyasema hayo katika mkutano na wajumbe wa tume ya kuhuisha uamrishaji mema na ukatazaji mabaya. Katika mkutano huo na wajumbe hao, Seyyid Ebrahim…

Hotuba ya Ijumaa – 22 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – 22 Julai 2022 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya 1: Sifa za kiongozi bora Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi…