Minasaba za Kiislamu

Hotuba ya Ijumaa – 15 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 15 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hotuba ya Ijumaa – 15 Julai 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1:  Je! Mwenyezi Mungu huwafanya nini wenye matamanio ya uongozi? Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni…

Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Sikukuu ya Ghadir

Kiongozi Muadhamu atangaza msamaha kwa wafungwa kwa mnasaba wa Sikukuu ya Ghadir

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la Jaji Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam Hossein Mohseni Ejei la kupunguziwa vifungo au kuachiwa huru wafungwa zaidi ya 2,000 wa Kiirani. Msamaha huo wa wafungwa 2,272 wa Kiirani waliokuwa wakitumikia vifungo tofauti katika jela za Iran ulitangazwa jana Jumapili na Ofisi ya Ayatullah…

Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu:Allama Syed Jawad Naqvi

Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu:Allama Syed Jawad Naqvi

Eid Al Adha – 10th July 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1: Kutoa sadaka kila kitu ulicho nacho kwa ajili ya kumpenda Mwenyezi Mungu ni dhabihu Taqwa ni kinga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambayo…

Hotuba ya Ijumaa – 8 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 8 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 8 Julai 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1:  Tathmini ya Dini kwa mtizamo wa Imam Sajjad (a) – Sehemu ya 2 Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi…

Leo katika Historia

Leo katika Historia

Katika siku kama ya leo miaka 1383 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria, Imam Hussein bin Ali (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad SAW aliondoka Makka na kuelekea Kufa nchini Iraq baada ya kukataa kumbai na kutoa kiapo cha utiifu kwa Yazid bin Muawiya. Miezi minne kabla ya hapo, Imam Hussein alikuwa amewasili mjini Makka akiwa pamoja…

Ibada ya Hija yaanza katika Mji Mtakatifu wa Makka

Ibada ya Hija yaanza katika Mji Mtakatifu wa Makka

Ibada ya kila mwaka ya Hija imeanza rasmi leo Alhamisi katika mji mtakatifu wa Makka, ikiashiria hatua kubwa kuelekea hali ya kawaida baada ya miaka miwili ya janga la corona ambapo idadi ya Mahujaji ilipunguzwa sana. Waislamu milioni moja leo wamekusanyika katika mji mtakatifu Makka  nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija. Idadi hii bado…

Hotuba ya Ijumaa – 1 Julai 2022,  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – 1 Julai 2022, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hotuba ya Ijumaa – 1 Julai 2022  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi  (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore)  Imetolewa: Msikiti wa Baitul Ateeq  Lahore – Pakistan   Hotuba ya 1: Tathmini ya Dini kwa mtizamo wa Imam Sajjad (a) – Sehemu ya 1 Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha…

Leo katika Historia

Leo katika Historia

Siku kama ya leo miaka 70 iliyopita kwa mujibu wa kalenda ya Hijria, alifariki dunia msomi mashuhuri wa Kiislamu Muhammad Hussein Kashiful Ghitaa. Ayatullah Kashiful Ghitaa alizaliwa katika mji mtakatifu wa Najaf katika familia ya wasomi na wacha-Mungu na kuanza kutafuta elimu akiwa bado mtoto mdogo. Baada ya kukamilisha elimu ya msingi, Ayatullah Kashiful Ghitaa…