Minasaba za Kiislamu

Nchi nyingi za Kiarabu zaruhusu mijimuiko ya ibada Mwezi wa Ramadhani

Nchi nyingi za Kiarabu zaruhusu mijimuiko ya ibada Mwezi wa Ramadhani

Wakati Waislamu wakijiandaa kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani, nchi za Kiarabu zimeamua kupunguza vizuizi vya kuzuia kuenea kwa virusi vya corona baada ya hali ya kipekee katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, IQNA imeripoti. Hivyo ibada na sherehe za Ramadhani zinarejea katika baadhi ya nchi za Kiarabu. Vizuizi vya kukabiliana na mlipuko wa corona vilikuwa…

Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah kwa mnasaba wa Mwezi wa Ramadhani

Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah kwa mnasaba wa Mwezi wa Ramadhani

Kwa mujibu wa taarifa, hotuba hiyo itarushwa mubashara au moja kwa moja kupitia televisheni ya Al Manar saa mbili na nusu usiku kwa wakati wa Beirut na Afrika Mashariki. Sayyid Hassan Nasrallah atazungumza kuhusu masuala mbali mbali katika hotuba hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu na wengi.

Tarehe 15 Shaaban Hijiria Qamaria ni kumbukumbu ya kuzaliwa mwokozi wa ulimwengu, Imam Mahdi –Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake (ATF)

Tarehe 15 Shaaban Hijiria Qamaria ni kumbukumbu ya kuzaliwa mwokozi wa ulimwengu, Imam Mahdi –Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake (ATF)

Nuru ya umaanawi ya uwepo wa Imam Mahdi ATF imeenea hata katika wakati huu wa “ghaiba” au kutokuwepo mtukufu huyo machoni mwa walimwengu. Kabla ya kumuumba mwanadamu, Mwenyezi Mungu aliwaambia Malaika wake: ‘Na pale Mola wako alipowaambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa (al-Baqarah:30). Khalifa wa kwanza alikuwa Nabii Adam (as) na baada yake wakaja Manabii na…

Ayyatullah Khamenei: Tunaunga mkono usitishaji wa vita nchini Ukraine

Ayyatullah Khamenei: Tunaunga mkono usitishaji wa vita nchini Ukraine

Ayatullah Ali Khamenei amesema hayo leo kwa mnasaba wa maadhimisho ya kubaathiwa na kupewa Utume Mtume Muhammad (saw) na kubainisha kwamba: Kinyume na maoni ya wale wanaoichukulia dini kuwa tofauti na siasa, maisha na serikali, kilele cha harakati ya utume wa mtume Muhammad ni uundaji wa serikali. Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa,…

Siku ya mazazi ya Imam Ali bin Abi Twalib (a.s) furaha kubwa kwa Waislamu wote ulimwenguni

Siku ya mazazi ya Imam Ali bin Abi Twalib (a.s) furaha kubwa kwa Waislamu wote ulimwenguni

Leo Jumapili tarehe 13 Rajab mwaka 1441 Hijria sawa na Tarehe 8 mwezi Machi mwaka 2020 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muumin Ali (A.S) Imam wa Kwanza wa Waislamu wa Kishia ulimwenguni. Ali bin Abi Twalib (as) alizaliwa katika nyumba tukufu ya al Kaaba tarehe 13 Rajab miaka 23 kabla ya Hijra ya Mtume (saw)…

Maelfu ya Wapalestina washiriki Sala ya Ijumaa Msikiti wa Al Aqsa

Maelfu ya Wapalestina washiriki Sala ya Ijumaa Msikiti wa Al Aqsa

Wapalestina wasiopungua 40,000 wameshiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel. Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Palestina la Wafa, Idara ya Wakfu ya Mji wa Quds imetangaza kuwa, idadi ya waumini Wapalestina waliosali Sala ya…

Irani yaadhimisha mazishi ya mashahidi 250, Kiongozi Muadhamu azungumza

Irani yaadhimisha mazishi ya mashahidi 250, Kiongozi Muadhamu azungumza

Wananchi wa Iran wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya mashahidi wao 250 waliouawa wakati wa vita vya miaka minane vya kujihami kutakatifu vilivyoanzishwa na utawala wa kidikteta wa Saddam wa Iraq dhidi ya dola changa wakati huo la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mazishi hayo yamefanyika leo Alkhamisi sambamba na kumbukuku ya siku ya kufa…