Minasaba za Kiislamu

Mazuwari waendelea kumiminika Karbala kwa ajili ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as)

Mazuwari waendelea kumiminika Karbala kwa ajili ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as)

Mazuwari kutoka maeneo mbalimbali ndani ya Iraq na maeneo mengine ya dunia wameendelea kumiminika katika mji wa Karbala kwa ajili ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as). Mji wa Karbala umeanza kushuhudia wimbi kubwa la umati wa watu wanaoingia mjini humo wengine wakitembea kwa miguu kutoka miji mbalimbali kama ya basra na Najaf kuelekea…

Uonevu dhidi ya Mashia nchini Pakistan kwa kuunga mkono Palestina: Ustad Syed Jawad Naqvi

Uonevu dhidi ya Mashia nchini Pakistan kwa kuunga mkono Palestina: Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika: Msikiti Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – 9 Agosti 2024   Hotuba ya Kwanza: Tayyib na Khabees hawawezi kulinganishwa katika jamii Hotuba ya Pili: Uonevu dhidi ya Mashia nchini Pakistan kwa kuunga mkono Palestina Mwenyezi Mungu…

Madhumuni ya kusimamisha uadilifu katika jamii kwa mwanasosholojia na Qur’an: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Madhumuni ya kusimamisha uadilifu katika jamii kwa mwanasosholojia na Qur’an: Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Principal Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Delivered at: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya ijumaa – 2nd February, 2024 Hotuba ya 1 : Madhumuni ya kusimamisha uadilifu katika jamii kwa mwanasosholojia na Qur’an Hotuba ya 2: Kushiriki katika uchaguzi ni unyakuzi wa haki za uimamu Taqwa…

Leo tunaweza kuona ubinadamu wote kama wanyonge ambao haujawahi kuonekana kama hii hapo awali: Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi

Leo tunaweza kuona ubinadamu wote kama wanyonge ambao haujawahi kuonekana kama hii hapo awali: Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – Januari 26, 2024 Hotuba ya pili (1) Kupanda Taqwa na adalat katika bustani hii Mwenyezi Mungu amemfanya Imam kuwa mtunza bustani. Katika istilahi ya Kurani Utume (Risalat) ni wajibu,…

Adl inaweza tu kuanzishwa kupitia Uimamu: Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi

Adl inaweza tu kuanzishwa kupitia Uimamu: Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustadh Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Hotuba ya Ijumaa – Januari 5, 2024   Hotuba ya 1: Adl inaweza tu kuanzishwa kupitia Uimamu Hotuba ya 2 : Ukiwapuuza wanyama, hawatakupuuza Msingi wa Taqwa ni Uadilifu. Uumbaji wote unatokana na…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan December 29, 2023   Hotuba ya Kwanza: Dini ni ilani ya mwongozo kwa maisha ya mwanadamu ambapo jamii inapoundwa kwa mujibu wa mpango wa Mwenyezi Mungu basi hua inaongozwa na…

Muundo wa Jamii ni Maadili – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Muundo wa Jamii ni Maadili – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan December 22, 2023   Hotuba ya 1: Muundo wa Jamii ni Maadili Mwenyezi Mungu ameifanya Adl kuwa msingi wa Taqwa. Ambapo Adl ni msingi wa dini ambayo ni mfumo wa…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan December 08, 2023   Hotuba ya 1: Kizazi hiki kitafanyiwa uchunguzi mnamo siku ya Qiyama na kigezo cha uchunguzi huo itakua ni Gaza Taqwa ni ulinzi katika kila kipengele cha…