
Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan December 01, 2023 Hotuba ya 1: Msaada kufika Gaza, ni hatua gani inapaswa kuchukuliwa kwa ajili ya nchi hizi 58 za Kiislamu zilizokufa? Nawahusieni nyinyi na kuihusia nafsi yangu katika…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan November 24, 2023 Mahubiri ya 1: Kutojali – Ugonjwa uliojificha katika jamii na Umma mzima wafichuliwa kupitia matukio ya Gaza Nawahusieni nyinyi na kuihusia nafsi yangu katika kuielekea Taqwa…

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi ya kuvuka mipaka yote ya dhulma – Viongozi wa nchi za Kiislamu walifanya makosa katika mkutano wa OIC kwa kuwapa Israel ruhusa ya kuvuka mipaka
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan November 17, 2023 Hotuba ya 1: Viongozi wa nchi za Kiislamu walifanya “Haram” katika mkutano wa OIC kwa kuwapa Israel ruhusa ya kuvuka mipaka yote ya dhulma. Inawezekana tukamwona…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan November 10, 2023 Khutba ya 1: Dajjal wawili: Mmoja ni yule anayesema kua Hamas ni Mfuasi wa Ahlul-bayt, na mwingine anasema kua Hamas hamwamini Imam Ali (a) Taqwa ni…

Wabaya zaidi kuliko Wazayuni ni wale Waislamu walio kimya – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan November 3, 2023 Hotuba ya 1: Wabaya zaidi kuliko Wazayuni ni wale Waislamu walio kimya Mwanadamu anapokosa kua na Taqwa basi jambo la kwanza analolipoteza ni ubinadamu wake, na kisha…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan October 27, 2023 Mahubiri ya 1: Wapiganaji wa Vita vya Msalaba wana nafasi mbele ya Mwenyezi Mungu Leo hii ubaya unafanywa kote ulimwenguni. Kuna wale ambao ni…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan October 20, 2023 Hotuba ya 1: Je, Quran inatuainishia jukumu gani kwa ajili ya Palestina? Adl ni lengo la kuwaamsha Mitume ili watu wainuke na kusimamisha kwa misingi ya…

Kwa nini Marekani inaunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni?
Siku hizi ijapokuwa wananchi wa nchi nyingi duniani wamekerwa na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza, Marekani, kinyume na madai yake ya uwongo ya kuunga mkono haki za binadamu, wanaendelea kuunga mkono vikali jinai hizo zinazofanywa na Wazayuni. Marekani ni miongoni mwa nchi ambazo siku zote zimekuwa zikiunga mkono jinai za Wazayuni katika…