Minasaba za Kiislamu

Kwa nini Hamas walishambulia huku wakijua wazi kwamba Israeli watalipiza kisasi?

Kwa nini Hamas walishambulia huku wakijua wazi kwamba Israeli watalipiza kisasi?

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan October 13, 2023   Khutba ya 1: Aidha uwe pamoja na wanaodhulumiwa au uko pamoja na madhalimu Ukifanya jambo zuri hapa, utapata faida ya hilo wewe mwenyewe, na vivyo…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan October 06, 2023 Mahubiri ya 1: Adl ya Kijamii haina maana ya usawa katika usambazaji wa njia Katika Surah Maida, aya ya 7: Allah (s) amewaamuru waumini kusimamisha Adl; يَا…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Septemba 22, 2023   Hotuba ya kwanza: NI JUKUMU LA JAMII KUMKUZA MTU WALA SI JUKUMU LA MTU BINAFSI KUIKUZA JAMII  Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa kwa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Septemba 8, 2023   Hotuba ya 1: Kazi ya kimsingi ya Ibrahim (a) na Imam Husein (a) ilikuwa kutoa mwelekeo kwa wanadamu. Mwenyezi Mungu amewajaalia Mitume, vitabu, na Siirat za Mitume…

Hoyuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hoyuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Agosti 25, 2023   HOTUBA YA KWANZA : SIFA TATU ZA MSINGI ZA  MTU MWADILIFU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha…

Khtibu wa Msikiti wa Al-Aqsa: Wazayuni wanatafuta kutengeza Uyahudi na udhibiti kamili wa al – Quds

Khtibu wa Msikiti wa Al-Aqsa: Wazayuni wanatafuta kutengeza Uyahudi na udhibiti kamili wa al – Quds

Sheikh Ikrame Sabri, Khatib wa Msikiti wa Al-Aqsa, alisema: Kuidhinishwa kwa kile kinachoitwa mpango wa miaka mitano wa maendeleo ya Jerusalem Mashariki na utawala unaoukalia kwa mabavu unalenga katika Uyahudi na kuudhibiti kikamilifu mji huu. Akiashiria kwamba wavamizi hao wanatafuta udhibiti kamili juu ya Jerusalem, Sheikh Akram Sabri alisema: Yeyote anayesafiri kuelekea magharibi mwa Jerusalem…

Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika

Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika

Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema Tehran inataka kuwa na uhusiano na nchi za Kiafrika kwa kuzingatia msingi wa kuheshimiana na kufaidika, kinyume cha mataifa ya Magharibi ambayo yanataka tu kupora maliasili na utajiri wa Afrika. Raisi aliyasema hayo katika mkutano wake wa Alhamisi na Rais mwenzake wa Senegal, Macky Sall kando ya mkutano wa…

Hotuba ya Ijumaa na Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hotuba ya Ijumaa na Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Agosti 18, 2023   HOTUBA YA KWANZA: UADILIFU WA MTU BINAFSI HUKUZWA KWA UADILIFU WA KIJAMII Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha…