Minasaba za Kiislamu

Dori ya Ucha Mungu Katika Kutatua Mizozo Baina ya Waumini –  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Dori ya Ucha Mungu Katika Kutatua Mizozo Baina ya Waumini –  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

 Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Mei, 26 2023   HOTUBA YA KWANZA:DORI LA UCHA MUNGU KATIKA KUTATUA MIZOZO BAINA YA WAUMINI Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha…

Uharibifu wa kiini cha ujasusi cha Mossad nchini Uturuki

Uharibifu wa kiini cha ujasusi cha Mossad nchini Uturuki

Vyombo vya habari vya Uturuki vilitangaza kuwa vyombo vya kijasusi na usalama vya nchi hiyo viliharibu seli moja ya Mossad inayofanya kazi nchini Uturuki. Kulingana na ripoti hii, uchunguzi wa kiini hiki cha ujasusi ulifanyika kwa muda wa mwaka mmoja na nusu, na mamlaka ya Kituruki iligundua kuwa kikundi hiki kililenga kampuni na watu 23…

Hakuna Elimu Iliyokuwa Bora Mfano Wa Tafakuri – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hakuna Elimu Iliyokuwa Bora Mfano Wa Tafakuri – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Mei, 19 2023   Hotuba Ya Kwanza: Allah Anajua Mambo Yaliyofichwa Mioyoni Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…

Kutotimiza Ahadi Kunakufanya Kuwa Msaliti – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Kutotimiza Ahadi Kunakufanya Kuwa Msaliti – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Mei, 14 2023   HOTUBA YA KWANZA: KUTOTIMIZA AHADI KUNAKUFANYA KUWA MSALITI Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…

Kujiepusha na Mambo Yasiokua na Faida ni Aina ya Ucha Mungu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Kujiepusha na Mambo Yasiokua na Faida ni Aina ya Ucha Mungu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Mei, 5 2023   HOTUBA YA KWANZA: AYA AMBAYO UKIIFANYIA KAZI NI SAWA NA KUTEKELEZA DINI KIUKAMILIFU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na…

Biashara bora zaidi ni Amale Saaleh, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Biashara bora zaidi ni Amale Saaleh, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 28, 2023   Hotuba ya 1: Taqwa katika kula chakula Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika misingi ya…

Maandamano ya maelfu ya Wazayuni yanaendelea katika ardhi za Palestina

Maandamano ya maelfu ya Wazayuni yanaendelea katika ardhi za Palestina

Maelfu ya Wazayuni wameendelea na maandamano yao ya kumpinga waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu, katika miji ya Quds na Tel Aviv licha ya kuweko sherehe za miaka 75 ya kuasisiwa utawala haramu na pandikizi wa Israel. Tangu miezi minne nyuma, Wazayuni wanafanya maandamano kila wiki kupinga marekebisho ya serikali ya Benjamin Netanyahu…

Dua ya Imam Sajjad ya Kuaga Mwezi wa Ramadhan – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Dua ya Imam Sajjad ya Kuaga Mwezi wa Ramadhan – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 21, 2023   HOTUBA YA 1 NA YA 2: DUA YA IMAM SAJJAD YA KUAGA RAMADHANI Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na…