Minasaba za Kiislamu

Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

Sheikh Kazem Seddiqi: Marekani imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa Israel

Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, licha ya Marekani kuwa na mfungamano wote na utawala haramu wa Israel lakini imeshindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ndani wa utawala huo, na hilo ni ishara ya kutokuwa na uwezo. Hujjatul Islam wal Muslimin Sheikh Kazem Seddiqi amesema hayo leo mbele ya hadhara kubwa…

Zaidi ya waumini 100,000 wahudhuria swala ya Eid al-Fitr katika Msikiti wa Al-Aqsa

Zaidi ya waumini 100,000 wahudhuria swala ya Eid al-Fitr katika Msikiti wa Al-Aqsa

Makundi tofauti ya wananchi wa Palestina wamefanya ibada ya Swala ya Eid al-Fitr katika maeneo tofauti ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu Ijumaa asubuhi ya leo. Takriban watu 120,000 waliswali swala ya Idi katika Msikiti wa Al-Aqsa. Licha ya utayarifu kamili wa jeshi la Kizayuni katika Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu na kuunda vizuizi vya kijeshi na…

Funga Iwe Chachu ya Kuhuisha Hisia za Kusimama Dhidi ya Dhulma na Uonevu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Funga Iwe Chachu ya Kuhuisha Hisia za Kusimama Dhidi ya Dhulma na Uonevu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 14, 2023 HOTUBA YA 1: SIKU ISHIRINI ZA MWANZO ZA MWEZI WA RAMADHAN NI MAANDALIZI KWA AJILI YA SIKU KUMI ZA MWISHO Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi…

Ujumbe wa Siku ya Quds; Umoja wa pande za upinzani dhidi ya wavamizi wa Kizayuni

Ujumbe wa Siku ya Quds; Umoja wa pande za upinzani dhidi ya wavamizi wa Kizayuni

Weledi wa mambo wanasema kuwa, maandamano ya Siku ya Quds mwaka huu yalikuwa tofauti na ya miaka ya nyuma kwa sababu yalifanyika huku kutimia kwa ndoto ya uhuru wa Palestina kukiwa karibu sana. Sababu ya tatizo hili ni uwezeshaji wa mhimili wa upinzani na umoja wa mashamba, au umoja wa mipaka ya mhimili huu. Wataalamu…

Utawala wa Kizayuni ukilekea kusambaratika na Quds ikiwa katika hali ya kupata uhuru

Utawala wa Kizayuni ukilekea kusambaratika na Quds ikiwa katika hali ya kupata uhuru

Baraza la Walinzi limetangaza katika taarifa yake kwamba vikosi vya muqawama vya Palestina na nchi za Kiislamu vimeungana zaidi kuliko ilivyokuwa hapo mwanzoni na kwamba, adui ambaye ni Mzayuni anakaribia zaidi dhana ya “kuporomoka” na “maangamizi” katika hali yake ya ukosefu wa utulivu. Kwa mujibu wa kambi ya habari ya Baraza la Walinzi, katika taarifa…

Mihadhara kutoka kwa shakhsia tofauti tofauti ulimwenguni na mhimili wa upinzani katika mpango wa  “Minbar ya al-Quds al-alami”

Mihadhara kutoka kwa shakhsia tofauti tofauti ulimwenguni na mhimili wa upinzani katika mpango wa “Minbar ya al-Quds al-alami”

Katika mkesha wa Siku ya Quds Duniani, Mitandao ya Habari ilianza kuwasilisha maoni ya viongozi na shakhsia wa kisiasa wa Ulimwengu wa Kiislamu kuhusu Quds katika harakati ya kukabiliana na utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama kwa kutangaza moja kwa moja kipindi cha “Minbar ya al-Quds”. . Katibu Mkuu wa Islamic Jihad: Tunafanya upya…

Swala ya Isha na Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa usiku wa tarehe 21 Ramadhani

Swala ya Isha na Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa usiku wa tarehe 21 Ramadhani

Makumi ya maelfu ya Wapalestina wanaendelea kufanya ibada na itikaf katika Msikiti wa Al-Aqsa katika Jerusalem inayokaliwa kwa mabavu licha ya vizuizi vinavyopo, vilivyowekwa na vikosi vya kizayuni. Vyanzo vya habari vya ndani vilitangaza kuwa raia wa Palestina walifungua mfungo wao baada ya Swala ya Maghrib katika viwanja vya Msikiti wa Al-Aqswa na kuswali Isha…

Ziwacheni Huru Roho Zenu kwa Kutubu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

Ziwacheni Huru Roho Zenu kwa Kutubu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi

  Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Aprili 7, 2023 HOTUBA YA 1: ZIWACHENI HURU ROHO ZENU KWA KUTUBU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…