
Kwa nini Marekani inaunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni?
Siku hizi ijapokuwa wananchi wa nchi nyingi duniani wamekerwa na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza, Marekani, kinyume na madai yake ya uwongo ya kuunga mkono haki za binadamu, wanaendelea kuunga mkono vikali jinai hizo zinazofanywa na Wazayuni. Marekani ni miongoni mwa nchi ambazo siku zote zimekuwa zikiunga mkono jinai za Wazayuni katika…

Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan October 06, 2023 Mahubiri ya 1: Adl ya Kijamii haina maana ya usawa katika usambazaji wa njia Katika Surah Maida, aya ya 7: Allah (s) amewaamuru waumini kusimamisha Adl; يَا…

Jinai ya kivita ya utawala wa Kizayuni kwa kuwafungia maji watu wa Ghaza
Kuwafungia maji watu kwa kuzingatia sheria za haki za binadamu kunachukuliwa kuwa ni jinai ya kivita, na utawala wa Kizayuni umekuwa ukitoa mashinikizo makubwa dhidi ya watu wa Nabar Ghara kwa kufanya jinai hiyo kwa muda wa siku 6. Siku 6 zimepita tangu utawala wa Kizayuni ufunge huduma ya maji kwa watu wa Gaza, na…

Rais wa Afrika Kusini atangaza mshikamano na Wapalestina mbele mashambulizi ya Israel
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza mshikamano wake na Wapalestina mbele ya jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na Israel dhidi ya Wapalestina hao wasio na ulinzi. Akiwa amevaa skafu ya Palestina, Rais Ramaphosa amesema: “Njia kuu ya kushughulikia mgogoro wa Palestina ni kuheshimishwa sheria na maazimio ya kimataifa likiwemo suala la kutangaazwa nchi huru…

Kwa nini Biden alichukulia kukaliwa kwa mabavu kwa Gaza kama “kosa kubwa”?
Habari: Katika mahojiano na CBS News, Rais wa Marekani Joe Biden alisema kwamba hatua yoyote ya “Israel” ya kukalia tena Ukanda wa Gaza ni “kosa kubwa” na kusema: “Sitabiri kwamba majeshi ya Marekani yatajiunga na vita; Kwa sababu hii sio lazima; Kwa sababu Israeli yenyewe ina moja ya vikosi bora duniani vya kupigana. – Onyo…

Raisi: Iran inajitahidi kuwa na uhusiano wa pande mbili uliokita mizizi katika kuheshimiana na mataifa ya Afrika
Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema Tehran inataka kuwa na uhusiano na nchi za Kiafrika kwa kuzingatia msingi wa kuheshimiana na kufaidika, kinyume cha mataifa ya Magharibi ambayo yanataka tu kupora maliasili na utajiri wa Afrika. Raisi aliyasema hayo katika mkutano wake wa Alhamisi na Rais mwenzake wa Senegal, Macky Sall kando ya mkutano wa…

Balozi wa Kenya nchini Iran atembelea viwanda vya uzalishaji Arak
Balozi wa Kenya mjini Tehran ametembelea viwanda vya uzalishaji katika mji wa Arak, makao makuu ya mkoa wa Markazi, unaofahamika kama mji mkuu wa viwanda wa Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la Iran Press, Joshua Gatimu, Balozi wa Kenya nchini Iran alizitembelea kampuni hizo za uzalishaji yakiwemo mashirika ya kuzalisha dawa jijini Arak…

Somo ambalo Seyyid Hassan Nasrallah alitoa kwa Wazayuni katika muda wa siku 33
Siku 33 zilitosha kuuletea ushindi mkubwa utawala wa unaokalia kwa mabavu wa Israel katika historia fupi ya utawala huo. Upinzani nchini Lebanon ulikabiliana na vipigo vya kipekee, vikali na vikali kwa utawala huu, kwa kulenga eneo lake la nyumbani na kwa kupiga vikosi vyake vya ardhini na vya majini kwenye maeneo ya vita. Kwa mujibu…