
Hotuba ya Mtume, Manifesto ya Muongozo Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 31, 2023 HOTUBA YA KWANZA: HOTUBA YA MTUME, MANIFESTO YA MUONGOZO KATIKA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja…

Ni Kwanini Wasomi Wengi Hufuatilia Habari za Mwandamo wa Mwezi – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 24, 2023 HOTUBA YA KWANZA: FUNGA NI KWA AJILI YA UTAKASO, QURAN NI KWA AJILI YA KUPALILIA Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu,…

Netanyahu amtoa kazini Waziri wa Vita
Leo (Jumapili) Waziri Mkuu wa utawala unaoukalia kwa mabavu wa Kizayuni amemfukuza kazi waziri wa vita wa baraza lake la mawaziri. Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni alimfuta kazi Yoaf Gallant, Waziri wa Vita wa utawala huo. Kwa mujibu wa habari, ukosoaji wa Gallant dhidi ya mpango wa marekebisho ya mahakama wa Netanyahu…

Namna Ya Kusaidiana Katika Wema na Ucha Mungu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 17, 2023 HOTUBA YA 1:NAMNA YA KUSAIDIANA KATIKA WEMA NA UCHA MUNGU Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu katika…

Mwandani Bora ni Hulka Njema – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hotuba ya Ijumaa – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 10, 2023 HOTUBA YA 1: UCHA MUNGU KATIKA URITHI NI KUWATENDEA HAKI MAYATIMA. Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na…

Bolton: Tumekaa kimya katika kipindi ambacho Iran, China na Russia zinaimarisha mahusiano
Mshauri huyo wa zamani wa masuala ya usalama wa Marekani aliionya serikali ya Marekani kwamba kwa sasa mazingatio yetu yapo katika kuimarika kwa uhusiano kati ya Iran, China na Urusi. John Bolton, mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, aliionya serikali ya Marekani kwamba anatazama tu kupanuka kwa uwezo wa China duniani na…

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akosoa kampeni za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu
Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekosoa uenezaji hofu juu ya Uislamu na chuki za aina mbalimbali dhidi ya Uislamu na Waislamu duniani. Akihutubia mkutano maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Uenezaji Chuki Dhidi ya Uislamu, Antonio Guterres alisema: Kuna idadi ya Waislamu karibu bilioni mbili duniani ambao…

Ubora Wa Mtu Kwa utu Sio Kwa Rangi Ya Ngozi Yake – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Machi 3, 2023 Hotuba ya 1: Ubora Wa Mtu Kwa utu Sio Kwa Rangi Ya Ngozi Yake Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, pamoja na kuwasisitizieni…