
Akili ndio mali yenye thamani ghali zaidi katika maisha ya mwanadamu – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Januari 13, 2023 HOTUBA ya 1: Rabitu – Agizo la Aina tatu za mahusiano mema ya kijamii Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha…

Rabetu – Agizo la kuanzisha mahusiano mema ya kijamii – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Januari 6, 2023 HOTUBA ya 1: Rabetu – Agizo la kuanzisha mahusiano mema ya kijamii Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha yenu…

Agizo la kuanzisha mahusiano mema ya kijamii – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Urwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa katika msikiti wa: Masjid Baitul ul Ateeq Lahore – Pakistan Desemba 30, 2022 HOTUBA ya 1: Rabetu – Agizo la kuanzisha mahusiano mema ya kijamii Ninawausieni nyinyi pamoja na kuiusia nafsi yangu kumcha Mwenyezi Mungu, na nawasisitizieni kuyasimamisha maisha…

Sababu za kumsajili Ronaldo katika Klabu ya Nasr ya Saudia
Faraan: Cristiano Ronaldo alijiunga na klabu ya Saudi Al-Nasr kwa mkataba wa euro milioni 200. Ijapokuwa kuajiriwa kwa wachezaji wa mpira kutoka nchi tofauti ni jambo la kawaida, lakini kuajiriwa kwa Ronaldo katika klabu ya al-Nasr ya Saudi Arabia kuna uchambuzi na uvumi wakivyake kulingana na macho ya watu wa Saudia na bila shaka maoni…

Vyombo vya habari vya Marekani vilitoa tahadhari kuhusu kuibuka kwa “vikosi vyenye hasira” nchini Saudi Arabia
Vyombo vya habari vya Marekani vilionya kuhusu kuibuka kwa makundi yenye hasira nchini Saudi Arabia kutokana na siasa za mwana mfalme wa nchi hio ambazo zimeegemezwa kwenye dhulma na ukandamizaji na kuenea kwa ufisadi na kudidimia kwa upande mwingine. Gazeti la “Los Angeles Times” liliandika katika uchunguzi: “Mtazamo wa ukandamizaji unaotumiwa na Mohammed bin Salman…

Waislamu wa madhehebu ya Kishia na nafasi yao ya kistratijiki duniani – Ali Akbar Raefipour
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu Mtazamo wa ulimwengu wa waumini. Hotuba ya Bw. Raefipour Shiraz tarehe 21 Januari 2016 Niwaambieni kitu ambacho kitawapa mtetemeko katika uti wa mgongo, kama ambavyo ni muhimu kwetu sisi kukijua; Asilimia 70 hadi 80 ya mafuta ya dunia yako mikononi mwa Mashia. Narudia tena; asilimia…

Irawani: Wale wanaodai kutetea haki za kibinadamu wanapaswa kuwakubali wakimbizi wa Afghanistan
Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema: Iran na majirani wengine hawapaswi kuwajibika kikamilifu kuwapokea wakimbizi wa Afghanistan. Kwa kuzingatia kanuni ya uwajibikaji wa pamoja, nchi nyingine, hasa zile zinazodai kulinda haki za binadamu za watu wa Afghanistan, hasa wanawake na wasichana, zinapaswa kuwakubali wakimbizi. Amir Saeed Irawani, Balozi na…

Lau milima pia ingempenda Ali ingelivunjika vipande vipande – Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi
Hujjatul Islam Ustad Syed Jawad Naqvi (Mkuu wa shule Jamia Orwatul Wuthqa – Lahore) Imetolewa: Msikiti wa Baitul…